Waziri wa CUF Zanzibar abariki upigwaji mwandishi wa Channel ten

kama mwandishi anapigwa huku MH JADI AKIWA KIMYA. UNAMAANISHA HAKUBARIKI?

Waziri mwenyedhamana ameshatoa tamko la kulaani, suala la kubariki hapa halipo yy siye alielalamikiwa, hata Munir mwenyewe hakusema iliyomuonea ni wizara ya habari, amesema amepigwa na askari wa Manispaa ambao wapo chini ya Waziri wa Afisi ya Rais na mw'kiti wa BLM, Dr.Mwinyihaji Makame Mwadini (CCM), Munir alikuwa aseme serikali imemnyima fursa ya kupata habari (hilo hakulalamikia) hapo ndiyo tungemwita Mh Jihad aseme kwanini?

Kadhalika, mwenyewe Munir amelifikisha suala hilo katika vyombo vya sheria ili wahusika wachukuliwe hatua na katika hao waziri Jihad hayumo kwa kuwa halimuhusu.
 
Back
Top Bottom