Waziri wa ccm butua umwokoe mh pinda

engmtolera

JF-Expert Member
Oct 21, 2010
5,150
1,437
Wana JF mpaka sasa hakuna waziri wa CCM kati ya wale wanaotakiwa kuachia ngazi aliyebutua mpira(KOMBOLELA) ili kuweza kumwokoa waziri mkuu?

Picha hii kwa hisani ya kipanya

1334912217.png

Kipanya upo juuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu

maana zifikapo saini 70 basi hoja ya kuto kuwa na imani na PM itawekwa mezani,ili kuokoa hilo ni lazima mawaziri husika wabutue mpira kumwokoa pm
 
Mm Naomba niwe kipa wakibutua huo mpira, mm ningekuwa president nisinge rudi ningeenda kwa maxioo kujifunza u Kocha.
 
Du Kipanya, nimekukubali. Nimecheka sina mbavu. Ukweli mzito, lakini hata kilaza anaweza kuuelewa.
 
waziri mkuu akiondoka na wao wataondoka tu...sasa sijui kwa nini wasiondoke mapema; labda wanajua hizi signature 70 hazitapatikana
 
Back
Top Bottom