Nzuguni one
JF-Expert Member
- Dec 23, 2019
- 1,153
- 474
Hii nzuri
Kuna dhana moja imesaidia sana Haya kutokea. Kwamba kila tajiri au mwenye kiwanda ni mwizi... na umasikini ndo uzalendo....Wawafungulie Biashara zao majadiliano yaendelee .Deni huwa halifungi mtu ni kesi tu ya madai .Hivi unafunga duka la mtu kisa kodi nk si mjadiliane tu ama ipunguzwe au alipe kidogodogo kwa installments Kufunga biashara that is too...
Kila wizara ijitathmini inayofungia biashara za Watu badala ya kusisitiza majadiliano zaidi
Kichekesho unakuta ameandika huna leseni funga !!!! si waonane na mhusika tu waongee kuwa baada ya miezi miwili tutapita tena uwe umeshatafuta leseni wanampa na tarehe ya kuja na kumtia moyo kuwa hatutapita kukuliza tena hata ukiona tunakuja usifunge usidhani tunakuja kwako.Tunakupa miezi miwili utaratibu wa keseni ni huu hata ikibidi watembee na fomu kabisa wampe wamwelekeze kujaza na viambatanishi vinavyotakiwa .Kama anavyo vyote ajaze hapo hapo wampe na control number alipe hapo hapo kama anazo kwa mobile money au akaunti kama akimaliza vyote kujaza waondoke na fomu zake wamwambie tutakuletea leseni hapahapa dukani endelea na biashara yako Hiyo ndio friendly approach inatakiwaWanakera, mfanyabiashara kapanga wanakuja na rangi kuchafua ukuta.maandishi makubwaaa
Wasiposikia ndio watajikuta sehemu nyingine
Ngoja tuoneWasiposikia ndio watajikuta sehemu nyingine
Amesema ukweli, suluhisho sio kufunga biashara za watu, mazungumzo ndio suluhisho kwani mara nyingi hayo makosa yanatokea bila kukusudia, na ukifunga hizo Biashara unaikosesha Serikali mapato, Ni sawa Waziri akisema Mtumishi atakayefunga Biashara ni mhujumu uchumi, na isiishie hapo tu, Mtumishi wa Serikali atakayefunga Biashara ashitakiwe mahakamani kwa uhujumu uchumi, na Serikali ifanye kila kitu digital, ili kuondoa rushwa.Kwenye taarifa ya habari ITV leo ya saa mbili nimemsikia Waziri wa Biashara na Viwanda, Godfey Mwambe amepiga marufuku taasisi zilizo chini ya wizara yake kufunga biashara za watu kwa kisingizio chochote ahimiza majadiliano badala ya funga funga. Amesema asisikie. Huo ni uhujumu uchumi
TRA na Taasisi zingine za umma mnaotembea na Makufuli na wino wa kuandika maduka na viwanda vya funga funga na mi X kibao mumesikia alichosema Mwambe?
Au huko kwenu kazi yenu kufunga biashara za watu?
Uko sahihi nilikuwa na rafiki yangu siku moja kuna rafiki yangu alikuwa akitengeneza komeo hizi za milango ya kiswahili ya kufunga na kufuli nyumbani kwake kisha anajaza kwenye viroba anazunguka madukani kuuza ya vifaa vya ujenzi kuuza .Siku hiyo wakaja wakamkuta kilichomkuta alikoma sema alihonga lakini ikabidi kiwanda afunge na alikuwa kaajiri watu 20 wenye familia zao .Wote wakaachishwa kazi na yeye hakukaa sana akafa Wakamwambia sijui anavunja sheria sijui za leseni za viwanda sijui nini na yeye hakuwa akijua chochote hizo sijui leseni sijui nini unaanzia wapi na unaishia wapi siji kusahau It is one if the bitter experience that I will never forget in my lifeAmesema ukweli, suluhisho sio kufunga biashara za watu, mazungumzo ndio suluhisho kwani mara nyingi hayo makosa yanatokea bila kukusudia,
TRA walishaambiwa siku nyingi na wahusikaKwani TRA iko chini yake