Waziri wa Ardhi, mwondoe huyu m/kiti wa baraza la Ardhi wilaya ya Mbulu-Manyara

saigilomagema

JF-Expert Member
Jun 5, 2015
4,509
6,552
Baraza la Ardhi na nyumba wilaya ya Mbulu liko eneo la Dongobesh. Huyu bwana ni mla rushwa, mbaguzi, katili asiye na utu.

Anashirikiana na wenye hela ktk eneo husika kuwadhulumu wanyonge. Ameshawanyanganya watu na kuvunja nyumba nyingi kwa ajili ya rushwa.

Anakula na ofisi ya msajili kanda ya kaskazini. Anaitwa Mosses Ntumengwa, kwanza karibu mwezi mzima hayupo ofisini.

Tafuteni pa kumpeleka huyu mtu wenu.
 
Vile viwanja Karibu na Makao makuu njia panda ya Haydom hamjaanza kuvigawa?

Dongobesh mji landscape nzuri sana kateni hivyo viwanja mji upendeze

Kuku wa Dongobesh watamu sana na nyama choma mnadani noma sana na viburudisho kama upo Bangladesh kumbe TUMATI
 
Back
Top Bottom