Waziri Wa Anga,Majini na Usafirishaji nchi Kavu Anajiuma uma.

zubedayo_mchuzi

JF-Expert Member
Sep 2, 2011
4,873
1,216
TBC LIVE now.
Mtangazaji-Mh Waziri nini cha kujivunia katika wizara yako ndani ya Miaka 50 ya uhuru?

WAZIRI-MH mtangazaji mmh mmh..,shirika la ndege lilikuwa chini ya africa mashart......
Aibu tupu.
 
TBC LIVE now.Mtangazaji-Mh Waziri nini cha kujivunia katika wizara yako ndani ya Miaka 50 ya uhuru?WAZIRI-MH mtangazaji mmh mmh..,shirika la ndege lilikuwa chini ya africa mashart......Aibu tupu.
Ni waziri wa anga ipi na mjini?
 
<br />
<br />
Nundu

Huyu ni kati ya mawaziri wasiomsaidia bosi wake; uliona wapi waziri anatangaza kuwa ATCL inapewa mabillioni ya shillingi wakati hakuna management ya uhakika wala board ya wakurugenzi ya kusimamia matumizi ya hizo fedha? Inavyosemekana hiyo anayoiita management mpya ni huyo acting CEO Chizi peke yake!! Unapozungumzia management nadhani ni mkusanyiko wa watendaji muhimu katika shirika na sio mtu mmoja.Sasa kiongozi wa namna hiyo atakosaje kujiumauma anapoulizwa maswali na waandishi wa habari?
 
Back
Top Bottom