Waziri wa afya utaenda lini muhimbili wadi ya wazazi ""kariakoo ""?? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Waziri wa afya utaenda lini muhimbili wadi ya wazazi ""kariakoo ""??

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Pdidy, Apr 17, 2010.

 1. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #1
  Apr 17, 2010
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,485
  Likes Received: 5,721
  Trophy Points: 280
  Mh waziri wa afya
  nimewiwa kusema haya baada ya muhimbili kutumia mamilion ya fedha
  katika kusherekea kutimiza miaka yake kumi ama a kuzaliwa kuanzishwa nimejiuliza siku zote mh waziri wanakuita unaishia kwenye sherehe milo sijui swla la pdiem kama wanakumegea lakini nimejiuliza mh waziri katika pita pita zako embu tembelea wad za wazazi maternity annex,wd 37,36 uone wanawake wakiwa na wwatoto wachanga walivyolazwa chini mhe waziri hakika utajiuliza kwa nini unakalia kiti cha laki sita na meza ya laki nne huku ukiwa na ac ya million moja.2...inaumiza sana sana mh waziri kuona muhimbili mnayoisherekea wah wachache wanaenda pale tena hasa wakati wamezidiwa na wengi huishia maisha yao pale ...sasa mkiwa kama waheshimiwa embu tengezeni muhimbili,mwanyamala hosp,temeke muwe mifano kwa watoto wenu na ndug familia kwenda kwenye hizi hosp kama mnaenda aghakan hosp ama regency inapendeza sana...tunaomba swala la wajawazito mshugulikie tafadhali....pili kuna malalamiko mengi wale manesi wanalipwa pesa ndogo sana kulingana na kazi wanayoifanya jamani embu waangalien wale watu kumbukeni ndio wanatuletea watu dunian na nyie mjkijidai mna wananchi....tunaomba waongezewe ama kupewa ka allowance katakachofanya waheshimu kututotole watoto wetu..bila matatizo najua mh waziri labda wetu wameandaliwa kuzali aghakan lakin vyema na hawa wa amitaani wasaidike jamani na kodi tuunazotumia...wale wah wajanja sana wanakupeleka wadi za private wakulete huku wd 36 37 34 uone kariakoo ni wadi ama sehemu ya kuzalia???inasikitisha mytu kulinganisha sehemu ya kuzalia na kariakoo shimoni ambamo akuna hata sehemu ya kupita unaruka watu......

  Waslaam
  mpendwa
   
 2. kuti kavu

  kuti kavu Member

  #2
  Apr 17, 2010
  Joined: Feb 25, 2009
  Messages: 68
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 13
  Nilibahatika kuona kile kipindi cha TV ya taifa TBC kilichomuonesha Mh. mkuu wa Inchi akioneshwa vifaa vya kisasa katika hospitali ya Muhimbili, hasa upande wa upasuaji na kuhudumia wagonjwa mahututi...Nikajiuliza mbona hawampeleki mkuu wodini, ili ajionee yale malalamiko ya ukosefu wa vitanda?...na pia mbona hawaelezi ni watanzania wangapi wanapata wasaa wa kuhudumiwa kwenye vyumba vile venye mitambo ya kisasa au ni kwa ajili ya wenyenazo??? na tatu la muhimbili sawa...je mwananyamala na matukio yote yanayotokea kwa nini mkuu wa Inchi asijifanye kama kapotea njia ...apitie pale mwananyamala kama mida ya saa nnne usiku halafu ajionee hali ilivyo????
   
 3. m

  magee Senior Member

  #3
  Apr 17, 2010
  Joined: Jun 3, 2009
  Messages: 126
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  jamani niseme tu ukweli,hali itazidi kuwaduni tukiamini serikali itufanyie kila kitu,wao wenyewe wameshindwa kujisaidia uozo wa hizi hospitali ni matokeo ya uchumi mbovu wa wananchi unaosababishwa na vitu viwili:
  1.dhana angamizi kwamba serikali ni baba yetu atupe vyote!
  2.sera mfu na zisizotekelezeka!!!
  tunachotakiwa kufanya na kuwaempower wananchi kimaendeleo kwa kuwaelimisha kwamba uchumi bora unaletwa na juhudi binafsi kubwa ni kuiforce serikali ilete mabadiliko ya sera na policys zitakazo wafeva wananchi wote,once kila mmoja ana uchumi mzuri sidhani kama muhimbili itakuwa si issue tena maana tutaweza kuwa na muhimbili zaidi ya mia moja!!!!!
   
 4. M

  MpendaTz JF-Expert Member

  #4
  Apr 17, 2010
  Joined: May 15, 2009
  Messages: 1,579
  Likes Received: 116
  Trophy Points: 160
  Mkuu Magee, Wote tungependa kuona hivyo lakini si kweli sana. Kinachoudhi ni pale ambapo pesa za walipa kodi zianatumika vibaya. Raslimali za nchi zinaibiwa na wachache na kupelekwa nje kuleta faida nchi za nje. Hivi huamini kuwa vile vijisenti vingetosha kununua vitanda vinavyohitajika pale Muhimbili? Na hiyo ni vijisenti tuu, je tuorodheshe? Hata kama ni mfumo au mkakati wa wananchi kuchangia maendeleo yao, Serikali ndiyo inayotakiwa kuwaongoza wananchi wake kwa kuwawekea mpango unaotekelezeka. Kinyume chake serikali iko makini katika kujiandaa kwa uchaguzi tuuu! Angalia leo hii wameshabuni mpango wa kukusanya michango kwa simu! hivi hujaona kuwa wanadhani kuwa wamechaguliwa kwenda kukaa pale kungoja kipindi kijacho cha uchaguzi? Angalia barabara zinaanza kujengwa kwa kasi sasa hivi nk.
   
 5. m

  magee Senior Member

  #5
  Apr 18, 2010
  Joined: Jun 3, 2009
  Messages: 126
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  na ndo maana nikasema ni kuwaempower watu na kuhakikisha sera mbovu hazipo,ikiwa pamoja na makodi ya ajabu wanayokula hawa mabazazi,unajua kwakuendelea kuamini haiwezekani na kuendelea kulipa kodi ndo tunazidi kuwapa ulaji hawa wanyonyaji......kwa kuanzia tuwaempower watu na tugome kulipa kodi....utaniambia.Tatizo watu kama nyie kina MPENDATZ mnaishia kwenye jamii forum tu,mm napigana phyisical huku nje na soon ntakupa matokeo,naamini tukiungana tukiwa wengi hawa watu hawana ujanja.........
   
 6. M

  MpendaTz JF-Expert Member

  #6
  Apr 18, 2010
  Joined: May 15, 2009
  Messages: 1,579
  Likes Received: 116
  Trophy Points: 160
  Hapo tuko pamoja Mkuu, hakuna wasiwasi. Na usi "assume" mimi naishia hapa JF. Maana huwezi jua!!!
   
 7. P

  Preacher JF-Expert Member

  #7
  Apr 19, 2010
  Joined: Aug 25, 2008
  Messages: 328
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Hivi nani alianzisha hizi sherehe zao wanazofanya?? e.g. SIKU YA AFYA DUNIANI.......etc.
  Na unakuta Waziri anahutubia bila hata aibu wakati anajua kabisa hakuna faida ya hizo sikukuu - all these are dirty politics

  1. NAOMBA IWEPO SERA YA KILA WAZIRI KUTEMBELEA WIZARA YAKE - AT LEAST KWA MWEZI MARA MOJA - HAPA DAR NA MIKOANI AONE KINACHOENDELEA - Hivi mtu unakaa ofisini, unaweka sahihi documents - hujui kitu gani kinachoendelea kwenye Wizara yako - halafu unajiita WAZIRI??? - for what??? kupata mshahara, nyumba nzuri, safari za nje, kuhudhuria sherehe ...... what else??? VIONGOZI TUWAFANYEJE WAWEZE KUWAJIBIKA NA KUWA NA UCHUNGU NA WALE WANOTESEKA???

  Naona MREMA LYATONGA ANGEKUWA WAZIRI MKUUI - ANGEKUWA ANAWAPA SIKU SABA - SABA KUTOKA KWENYE VITI VYAO NA KUTEMBELEA WIZARA ZAO

  Waziri Mkuu - yuko busy anatembelea sehemu - sehemu - KWANINI ASIWAWAJIBISHE MAWAZIRI WALIO CHINI YAKE WAFANYE HIVYO????
   
Loading...