Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu: Watu sasa kujipima UKIMWI majumbani mwao

Hivi punde

JF-Expert Member
Apr 1, 2017
2,554
8,552
umi+pic.jpg

Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu amesema Wizara imemwandikia barua Mwanasheria Mkuu wa Serikali ili kubadili sheria na kila mtu aweze kujipima UKIMWI nyumbani.

Waziri Ummy ameyasema hayo leo Mei 31 bungeni wakati akijibu swali la nyongeza la Mbunge wa Mtambulie (CUF), Masoud Abdalla Salim ambaye ameuliza mkakati wa ziada wa Serikali kutambua wanaopata athari za UKIMWI.

“Nchi nyingine wanatumia mate kutambua waathirika wa VVU (Virusi vya Ukimwi), Serikali ina mkakati gani wa ziada kutambua wale wanaopata athari za VVU hasa tukianza na Mkoa wa Dodoma.”ameuliza Salim.

Akijibu swali hilo, Waziri Ummy ambaye pia ana dhamana ya maendeleo ya jamii, jinsia, wazee na watoto amesema sheria imekuwa kikwazo kwa wananchi kujipima maambukizi ya UKIMWI.Waziri Mwalimu amesema, ni kweli maambukizi yameongezeka kwa mkoa wa Dodoma kutoka asilimia 2.4 hadi asilimia 5 sawa sawa na mkoa wa Tanga na Mwanza.

“Tunafanya utafiti maalumu kubaini kwa nini maambukizi yamepanda. Tumekuwa na changamoto ya kuwapata wanaume kupima na njia ya mtu kujipima mwenyewe,” amesema Waziri Mwalimu

Kuhusu dawa za VVU, Waziri Mwalimu amesema, zipo kwa asilimia 100.
“Ukimwi si sentensi ya kifo, ukibainika tunakuingiza katika mpango wa kupata dawa.” amesema.

Chanzo: Mwananchi
 
Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu amesema Wizara imemwandikia barua Mwanasheria Mkuu wa Serikali ili kubadili sheria na kila mtu aweze kujipima Ukimwi nyumbani.
Waziri Ummy ameyasema hayo leo Mei 31 bungeni wakati akijibu swali la nyongeza la Mbunge wa Mtambulie (CUF), Masoud Abdalla Salim ambaye ameuliza mkakati wa ziada wa Serikali kutambua wanaopata athari za Ukimwi.

“Nchi nyingine wanatumia mate kutambua waathirika wa VVU (Virusi vya Ukimwi), Serikali ina mkakati gani wa ziada kutambua wale wanaopata athari za VVU hasa tukianza na Mkoa wa Dodoma.”ameuliza Salim

Akijibu swali hilo, Waziri Ummy ambaye pia ana dhamana ya maendeleo ya jamii, jinsia, wazee na watoto amesema sheria imekuwa kikwazo kwa wananchi kujipima maambukizi ya Ukimwi.
Waziri Mwalimu amesema, ni kweli maambukizi yameongezeka kwa mkoa wa Dodoma kutoka asilimia 2.4 hadi asilimia 5 sawa sawa na mkoa wa Tanga na Mwanza.

“Tunafanya utafiti maalumu kubaini kwa nini maambukizi yamepanda. Tumekuwa na changamoto ya kuwapata wanaume kupima na njia ya mtu kujipima mwenyewe,” amesema Waziri Mwalimu

Kuhusu dawa za VVU, Waziri Mwalimu amesema, zipo kwa asilimia 100.
“Ukimwi si sentensi ya kifo, ukibainika tunakuingiza katika mpango wa kupata dawa.” amesema
mmmm kujipima mwenyewe ile inatakiwa mtu aliyesoma psychology ukimgundua mgonjwa huwezi kumtamkia moja kwa moja lazima umpeleke mbali ki mawazo
 
Utekelezaji wa huu mpango utakuwa mgumu sana tusubiri muda utaongea
 
View attachment 790644
Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu amesema Wizara imemwandikia barua Mwanasheria Mkuu wa Serikali ili kubadili sheria na kila mtu aweze kujipima UKIMWI nyumbani.

Waziri Ummy ameyasema hayo leo Mei 31 bungeni wakati akijibu swali la nyongeza la Mbunge wa Mtambulie (CUF), Masoud Abdalla Salim ambaye ameuliza mkakati wa ziada wa Serikali kutambua wanaopata athari za UKIMWI.

“Nchi nyingine wanatumia mate kutambua waathirika wa VVU (Virusi vya Ukimwi), Serikali ina mkakati gani wa ziada kutambua wale wanaopata athari za VVU hasa tukianza na Mkoa wa Dodoma.”ameuliza Salim.

Akijibu swali hilo, Waziri Ummy ambaye pia ana dhamana ya maendeleo ya jamii, jinsia, wazee na watoto amesema sheria imekuwa kikwazo kwa wananchi kujipima maambukizi ya UKIMWI.Waziri Mwalimu amesema, ni kweli maambukizi yameongezeka kwa mkoa wa Dodoma kutoka asilimia 2.4 hadi asilimia 5 sawa sawa na mkoa wa Tanga na Mwanza.

“Tunafanya utafiti maalumu kubaini kwa nini maambukizi yamepanda. Tumekuwa na changamoto ya kuwapata wanaume kupima na njia ya mtu kujipima mwenyewe,” amesema Waziri Mwalimu

Kuhusu dawa za VVU, Waziri Mwalimu amesema, zipo kwa asilimia 100.
“Ukimwi si sentensi ya kifo, ukibainika tunakuingiza katika mpango wa kupata dawa.” amesema.

Chanzo: Mwananchi
Siku akizungumzia kuhusu Kujipima DNA majumbani mni-tag please
 
Haya ndio matatizo ya kumpa uongozi mwanamke... Yeye kila saa anawasakama wanaume tu!!

Alafu hiyo dawa ya VVU ameipata wapi??
Hahahahah aiseee ila hata waziri mkuu amesema kuanzia mwezi unaoanza kesho atahamasisha upimaji wa vvu kwa wanaume.
Mimi kwa upande wangu niseme tu, nakaa na vipimo vya ukimwi ndani kwangu.
 
Tukisema wanawake ni hopeless mnabisha ...kupima na kutokupima ni haki yangu na sipaswi kuingiliwa ama kushawishiwa, kila mtu anawajibika kwa maisha yake na siendi kupima kwa faida ya mwingine. Hizi sera za kukopi na kupaste kila kitu kutoka kwa wafadhiri wao waache mara moja ...this is a big shit!
 
Una akili finyu halafu hata hujui masikini
 
Haya ndio matatizo ya kumpa uongozi mwanamke... Yeye kila saa anawasakama wanaume tu!!

Alafu hiyo dawa ya VVU ameipata wapi??
Hayo ni mambo ya haki sawa,sasa wanaume tutaisoma namba,nasubiria tu muswada utakaotutaka tuanze kuvaa sketi...
 
Maambukizi yameongezeka kwakua Hakuna Condom! Niliwahi kusema hapa kuwa kuna uhaba mkubwa Sana wa kondom. Thread iko humu Invisible nisaidie kuiweka hapa
 
Kuna pharmacist mmoja Kila nikitaka kumgegeda lazima tupime kwanza, mpaka nikahisi naanza kupata upungufu wa damu!!
 
Maambukizi yameongezeka kwakua Hakuna Condom! Niliwahi kusema hapa kuwa kuna uhaba mkubwa Sana wa kondom. Thread iko humu Invisible nisaidie kuiweka hapa
Teh, kuna uhaba wa ndom halafu rate ya kunjunjana imeongezeka...dah
 
Back
Top Bottom