Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu: Watu sasa kujipima UKIMWI majumbani mwao

Hivi punde

JF-Expert Member
Joined
Apr 1, 2017
Messages
2,219
Points
2,000

Hivi punde

JF-Expert Member
Joined Apr 1, 2017
2,219 2,000
umi+pic.jpg

Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu amesema Wizara imemwandikia barua Mwanasheria Mkuu wa Serikali ili kubadili sheria na kila mtu aweze kujipima UKIMWI nyumbani.

Waziri Ummy ameyasema hayo leo Mei 31 bungeni wakati akijibu swali la nyongeza la Mbunge wa Mtambulie (CUF), Masoud Abdalla Salim ambaye ameuliza mkakati wa ziada wa Serikali kutambua wanaopata athari za UKIMWI.

“Nchi nyingine wanatumia mate kutambua waathirika wa VVU (Virusi vya Ukimwi), Serikali ina mkakati gani wa ziada kutambua wale wanaopata athari za VVU hasa tukianza na Mkoa wa Dodoma.”ameuliza Salim.

Akijibu swali hilo, Waziri Ummy ambaye pia ana dhamana ya maendeleo ya jamii, jinsia, wazee na watoto amesema sheria imekuwa kikwazo kwa wananchi kujipima maambukizi ya UKIMWI.Waziri Mwalimu amesema, ni kweli maambukizi yameongezeka kwa mkoa wa Dodoma kutoka asilimia 2.4 hadi asilimia 5 sawa sawa na mkoa wa Tanga na Mwanza.

“Tunafanya utafiti maalumu kubaini kwa nini maambukizi yamepanda. Tumekuwa na changamoto ya kuwapata wanaume kupima na njia ya mtu kujipima mwenyewe,” amesema Waziri Mwalimu

Kuhusu dawa za VVU, Waziri Mwalimu amesema, zipo kwa asilimia 100.
“Ukimwi si sentensi ya kifo, ukibainika tunakuingiza katika mpango wa kupata dawa.” amesema.

Chanzo: Mwananchi
 
Baba wa Mapaka

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2016
Messages
1,185
Points
2,000

Baba wa Mapaka

JF-Expert Member
Joined Oct 17, 2016
1,185 2,000
Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu amesema Wizara imemwandikia barua Mwanasheria Mkuu wa Serikali ili kubadili sheria na kila mtu aweze kujipima Ukimwi nyumbani.
Waziri Ummy ameyasema hayo leo Mei 31 bungeni wakati akijibu swali la nyongeza la Mbunge wa Mtambulie (CUF), Masoud Abdalla Salim ambaye ameuliza mkakati wa ziada wa Serikali kutambua wanaopata athari za Ukimwi.“Nchi nyingine wanatumia mate kutambua waathirika wa VVU (Virusi vya Ukimwi), Serikali ina mkakati gani wa ziada kutambua wale wanaopata athari za VVU hasa tukianza na Mkoa wa Dodoma.”ameuliza SalimAkijibu swali hilo, Waziri Ummy ambaye pia ana dhamana ya maendeleo ya jamii, jinsia, wazee na watoto amesema sheria imekuwa kikwazo kwa wananchi kujipima maambukizi ya Ukimwi.
Waziri Mwalimu amesema, ni kweli maambukizi yameongezeka kwa mkoa wa Dodoma kutoka asilimia 2.4 hadi asilimia 5 sawa sawa na mkoa wa Tanga na Mwanza.“Tunafanya utafiti maalumu kubaini kwa nini maambukizi yamepanda. Tumekuwa na changamoto ya kuwapata wanaume kupima na njia ya mtu kujipima mwenyewe,” amesema Waziri MwalimuKuhusu dawa za VVU, Waziri Mwalimu amesema, zipo kwa asilimia 100.
“Ukimwi si sentensi ya kifo, ukibainika tunakuingiza katika mpango wa kupata dawa.” amesema
mmmm kujipima mwenyewe ile inatakiwa mtu aliyesoma psychology ukimgundua mgonjwa huwezi kumtamkia moja kwa moja lazima umpeleke mbali ki mawazo
 
Shark

JF-Expert Member
Joined
Jan 25, 2010
Messages
25,123
Points
2,000

Shark

JF-Expert Member
Joined Jan 25, 2010
25,123 2,000
View attachment 790644
Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu amesema Wizara imemwandikia barua Mwanasheria Mkuu wa Serikali ili kubadili sheria na kila mtu aweze kujipima UKIMWI nyumbani.

Waziri Ummy ameyasema hayo leo Mei 31 bungeni wakati akijibu swali la nyongeza la Mbunge wa Mtambulie (CUF), Masoud Abdalla Salim ambaye ameuliza mkakati wa ziada wa Serikali kutambua wanaopata athari za UKIMWI.

“Nchi nyingine wanatumia mate kutambua waathirika wa VVU (Virusi vya Ukimwi), Serikali ina mkakati gani wa ziada kutambua wale wanaopata athari za VVU hasa tukianza na Mkoa wa Dodoma.”ameuliza Salim.

Akijibu swali hilo, Waziri Ummy ambaye pia ana dhamana ya maendeleo ya jamii, jinsia, wazee na watoto amesema sheria imekuwa kikwazo kwa wananchi kujipima maambukizi ya UKIMWI.Waziri Mwalimu amesema, ni kweli maambukizi yameongezeka kwa mkoa wa Dodoma kutoka asilimia 2.4 hadi asilimia 5 sawa sawa na mkoa wa Tanga na Mwanza.

“Tunafanya utafiti maalumu kubaini kwa nini maambukizi yamepanda. Tumekuwa na changamoto ya kuwapata wanaume kupima na njia ya mtu kujipima mwenyewe,” amesema Waziri Mwalimu

Kuhusu dawa za VVU, Waziri Mwalimu amesema, zipo kwa asilimia 100.
“Ukimwi si sentensi ya kifo, ukibainika tunakuingiza katika mpango wa kupata dawa.” amesema.

Chanzo: Mwananchi
Siku akizungumzia kuhusu Kujipima DNA majumbani mni-tag please
 
Bwai

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2011
Messages
730
Points
500

Bwai

JF-Expert Member
Joined Aug 2, 2011
730 500
Haya ndio matatizo ya kumpa uongozi mwanamke... Yeye kila saa anawasakama wanaume tu!!

Alafu hiyo dawa ya VVU ameipata wapi??
Hahahahah aiseee ila hata waziri mkuu amesema kuanzia mwezi unaoanza kesho atahamasisha upimaji wa vvu kwa wanaume.
Mimi kwa upande wangu niseme tu, nakaa na vipimo vya ukimwi ndani kwangu.
 
Rweye

JF-Expert Member
Joined
Mar 16, 2011
Messages
16,388
Points
2,000

Rweye

JF-Expert Member
Joined Mar 16, 2011
16,388 2,000
Tukisema wanawake ni hopeless mnabisha ...kupima na kutokupima ni haki yangu na sipaswi kuingiliwa ama kushawishiwa, kila mtu anawajibika kwa maisha yake na siendi kupima kwa faida ya mwingine. Hizi sera za kukopi na kupaste kila kitu kutoka kwa wafadhiri wao waache mara moja ...this is a big shit!
 
Hey

JF-Expert Member
Joined
Apr 26, 2008
Messages
531
Points
500

Hey

JF-Expert Member
Joined Apr 26, 2008
531 500
Tukisema wanawake ni hopeless mnabisha ...kupima na kutokupima ni haki yangu na sipaswi kuingiliwa ama kushawishiwa, kila mtu anawajibika kwa maisha yake na siendi kupima kwa faida ya mwingine. Hizi sera za kukopi na kupaste kila kitu kutoka kwa wafadhiri wao waache mara moja ...this is a big shit!
Una akili finyu halafu hata hujui masikini
 
Elli

JF-Expert Member
Joined
Mar 17, 2008
Messages
35,115
Points
2,000

Elli

JF-Expert Member
Joined Mar 17, 2008
35,115 2,000
Maambukizi yameongezeka kwakua Hakuna Condom! Niliwahi kusema hapa kuwa kuna uhaba mkubwa Sana wa kondom. Thread iko humu Invisible nisaidie kuiweka hapa
 
Forum statistics

Threads 1,389,319
Members 527,908
Posts 34,022,815
Top