Gilbert A Massawe
JF-Expert Member
- May 14, 2015
- 4,912
- 3,991
Heri ya sikukuu wana jf nimshukuru dr magufuli kutambua uwezo wa ummy mwalimu waziri wa afya ambae ameonyesha uhai kwa muda mfupi bila kuogopa mtu amewahi kuwa nani nikiangalia kitendo cha kumpiga stop kigogo mmoja pale ocean road ambapo kumekua na madudu na ubaguzi wa kihuduma
Pia nimpe pongezi kwa kutoa ufafanuzi kwa kusema serekali haina bifu na wataalamu wa dawa za kienyeji na lengo ni kufwata na kuzingatia sheria za mamlaka husika
Watu wakiona kama naibu waziri wa afya dr kigwangala anatafuta sifa kumbe ni moja ya utekelezaji
Watanzania tuwe wammoja tuungane kuwaunga mkono waziri ummy mwalimu na wenzake huyu dada ni kichwa na anajua sana
By gilbert massawe

Last edited by a moderator: