Waziri wa Afya ummy Mwalimu leo amefanya ziara Bohari Kuu ya madawa Tanzania

Egnecious

JF-Expert Member
Jul 8, 2015
875
960
Waziri wa Afya maendeleo ya jamii jinsia wazee na watoto Ummy Mwalimu leo amefanya ziara bohari kuu ya madawa Tanzania kulia ni Mkurugenzi Raulian Bwanakunu wa MSD akimueleza changamoto na mapungufu ya madawa.

Hii ni katika kuendana na kauli mbiu ya #HAPAKAZITU ya mhe rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dr John Pombe Magufuli
#sasakazitu
 
Last edited by a moderator:
Ni ziara ya kushtukiza? Maana ziara za kushtukiza bongo ndio zinatija haiwezekani ofisi nzima watu wanaenda likizo kama walivyofanya kinondoni
 
Back
Top Bottom