Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu apiga marufuku manesi kufanya kazi katika maduka ya dawa

Hivi kumbe ukiwa na certificate au diploma ya pharmacy unaitwa mfamasia? Mimi nilifikiri ni degree ndo maana nimekuwa naurgue. Nawapenda madaktari coz wao ili uitwe medical doctor lazima uwe na degree.
Certificate in Pharmacy, diploma in pharmacy, degree in pharmacy. Msc in Pharmacy, PhD in Pharmacy. Jiongeze.
 
Watanzania sasa tuanze kuelewa namna ya kuishi kwa kufuata sheria na taratibu, kwa maana kwamba kama wewe ni nesi basi kazi yako ni kule hospitali, kutuo cha afya na sehemu zingine za huduma ya afya.

Mfamasia ndiye mtaalam aliesomea kutoa dawa kwa leseni ambayo ni cheti chake.

Huyu ana uwezo na mamlaka ya kutoa dawa yoyote ile kulingana na maelekezo (description) ya daktari.

Kuna watu wengine hapa wameona wafamasia wakitoa dawa katika nchi khasa zile zilizoendelea je wlipokwenda pale "counter" na description zao wamemwona nesi pale anagawa dawa?

Sanasana katika pharmacy utaona chumba kimeandikwa Nurse na anakuwa pale ili kutoa msaada wa ushauri tu na siyo masuala ya kuanza kugawa dawa.

Hawa manesi hata wakiwa hospitali huwa hawatoi dawa bila daktari kuidhinisha hivyo hawana mamlaka ya kufanya description yoyote ya dawa, wakifanya hivyo wanakuwa wanavunja sheria.

Hongera dada Ummy Mwalimu kwa kuliona hili na hii itahimiza vijana wajitahidi kusoma kozi mbalimbali za sayansi ikiwemo kozi ya ufamasia ambayo kwa nchi zingine ni mtu anaelipwa pesa pana sana,

Siyo watu wanakimbilia kusoma uandishi wa habarti wakti hilo eneo lina ushindani mkubwa na watu wanaishia kukosa kazi na kuanza kulialia hasa mitandaoni.

Ukiwa mfamasia mzoefu unakuwa unaaminiwa na hospitali mbalimbali na pia unakuwa unafanya shughuli zako karibu kabisa na hospitali na kituo chochote cha afya, yaani unaheshimika katika jamii.

Tuache sasa kufanya kila kitu kwa mazoea na hii ndiyo Tanzania mpya tunayoitaka.
 
Angeenza na hospitali, vituo vya afya na zahanati as serikali .wagajji wa dawa ni manesi.wafamasia labda mmoja tena hospitali yupo store ya kutuzia dawa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni Tanzania pekee ambapo manesi wanauza maduka ya dawa...
Go and read who are nurses and their scope of practices hutaona kitu kudispense medicine...
Sio nesi tu hata daktari haruhusiwi kuuza duka la dawa according to pharmacy act 2011 na TFDA act ya 2008...
Mambo yooote yanayohusu dawa kuanzia kudesign, kutengeneza, kutunza, kuuza na maelekezo yoote yanatakiwa yafanywe na pharmaceutical personnel specifically pharmacist, pharmaceutical technician au pharmaceutical assistant na sio nesi wala daktari...
Manesi wanakimbia kuosha vidonda wanaenda kupractice scope ya watu wengne kila mtu afanye alichosomea
WAZIRI UMMY MWALIMU, USIPOTOSHWE NA WAFAMASIA KUHUSU ADDO, MTAANGAMIZA AFYA ZA WATANZANIA.

Na Prof Patrick Koboko(MD,MMED,PhD)

 Salaam Mhe Waziri!

Kwanza kabisa nikupe pole na hongera nyingi sana kwa majukumu iliyonayo ya ujenzi wa taifa hususani dhamana kubwa uliyopewa ya kushikilia afya za watanzania. Maana wewe ukitetereka na afya za watanzania zinatetereka.

Mhe Waziri Ummy Mwalimu umekua ni miongoni mwa wanasiasa wanamama wanaofanya kazi kubwa sana na nzuri sana katika kulijenga taifa hili na hii ndiyo maana ulirejeshwa katika katika wizara iliyopo hivi sasa.
Lakini nikushauri Mama yangu kuna watu wanekuzunguka usipokua makini watakuharibia kazi, wanatumia mwanya kwa sababu wewe siyo Mtaaluma katika fani ya Afya. Katika hili swala la ADDO umepotoshwa na msipoangalia mnaenda kuliangamiza taifa, titatolea sababu hapa chini.

ADDO NI MRADI WA NANI?
Mhe waziri, tunashukuru kwamba mmesitisha mpango wa kutoa mafunzo kwa watoa dawa za binadamu ambao hawana taaluma ya famasia almaarufu kama ADDO. Huu ulikua ni mradi ambao ulibuniwa na baadhi ya wachumia tumbo wachache ambao walitaka kujitengenezea namna flani ya kula pesa za watanzania wenye taaluma za afya hasa wauguzi na matabibu kwa madai kwamba hawana taaluma za famasia(Sijui kuna uhusiano gani hapa). Huu ulikua ni upigaji wa pesa za watanzania tena walitoza pesa nyingi sana kuanzia shilingi 250,000 na kuendelea. Kuondoa ADDO ni kuwandolea ulaji wachumia tumbo hawa ambao hawakua na maslahi kwa taifa. Maana vyeti vilitolewa kwa rushwa nyingi sana na hata walipewa wasiokua na taaluma za afya ndiyo maana tuliona yanayotokea kwenye baadhi ya maduka, mtu ana cheti cha ADDO lakini taaluma ya Afya hana. Niwe muwazi mradi huu uliratibiwa na baraza la famasia Tanzania, hata leo ukaguzi ukifanyika yatagundulika Madudu mengi sana na ningeomba mamlaka za serikali kama vile PCCB na CAG walichunguze baraza la famasia Tanzania mtajionea mengi.

KATI YA MFAMASIA, NESI NA DAKTARI NANI ATOE DAWA KWA MGONJWA? WAZIRI UMEPOTOSHWA !

 1.MFAMASIA KAZI YAKE NI IPI?
Kwa bahati mbaya sana Mhe waziri sijui lengo lako la kusitisha mafunzo ya ADDO ni kudhibiti mianya ya Rushwa au mnalenga kazi hii ifanywe na wafamasia pekee? Kama lengo ni wafamasia watoe dawa kwa wagonjwa basi umepotoshwa vibaya sana mnataka kuangamiza Afya za wananchi.
✓Kazi ya Mfamasia ni kutunza na kuhifadhi dawa,kusambaza maeneo yenye uhitaji pamoja na kutengeneza dawa viwandani na siyo kutoa dawa moja kwa moja kwa mgonjwa . Kwahiyo kazi yake siyo drugs Administration, hii ni kazi ya watu wengine. Mfamasia hajasomea Magonjwa wala wadudu wanaosababisha maradhi, hajasomea dalili za magonjwa.Hivi anapoenda mgonjwa kwenye duka la dawa na hana cheti cha daktari, Mfamasia anajua Diagnosis ya ugonjwa wake? Amesomea dalili? Ni maduka mangapi yanayotoa dawa kwa vyeti vya madaktari nchini? Hivi mnajua kua mnataka kuliangamiza taifa kwa maslahi ya wachache?

Hapa kuna upotoshwaji mkubwa ambao unafanyika huenda ni kutokujua au mfumo mbovu katika taaluma hii. Kuna wakati mwingine utasikia wanasema kua kuna watoa dawa wakuosomea ngazi ya cheti cha awali cha famasia (Dispensers) wachukue nafsi ya wale wenye mafunzo ya ADDO lakini wanashindwa kuelewa kua hawa kazi zao ni kuwasaida wafamasia na mafundi sanifu wa dawa(Pharmtechs) katika kutoa dawa, kuhifadhi na kusambaza na siyo kutoa dawa kwa wagonjwa, hawafundushwi magonjwa wala dalili zake. Anayetoa dawa moja kwa moja kwa mgonjwa ni nesi. Hivyo huyu Dipenser akipata mgonjwa asiyekua na cheti cha daktari bado ni majanga matupu maana kazi yake siyo kutambua ugonjwa. Hawa wabakie kutoa dawa stoo, kuzihifadhi na kuisambaza.

2.DAKTARI NA NESI KWENYE UTOAJI WA DAWA.

 Sihitaji kutoa utetezi katika taaluma hizi kwa sababu mimi ni mwanataaluma pia lakini huu ndio ukweli na Mhe waziri nitoe somo hapa ili ukatae wale waliokupotosha.

✓ Daktari yeye amesomea magonjwa na dalili zake hivyo, mgonjwa anapoumwa tayari anajua anaumwa kitu gani na anajua ampe dawa gani maana dalili za ugonjwa husika anazijua, sasa unaposema Mfamasia akae dukani auze dawa, akija mgonjwa bila cheti atanisaidia nini? Atatambuaje ugonjwa husika na kwa taaluma gani?
✓Nesi hana tofauti sana na daktari maana naye anasomea magonjwa na dalili zake pamoja kutoa dawa moja kwa moja kwa mgonjwa na yeye amejikita zaidi katika kumwangalia mgonjwa anapopata matibu. Kiutaratibu Nesi ndiye anayeenda na cheti cha daktari katika dirisha la dawa na atapewa dawa na Mfamasia kisha ataenda kumpa mgonjwa dawa maana anajua anatoa dawa ipi kwa mgonjwa na kwa ugonjwa upi. Ndiye anayepokea maagizo ya daktari kisha aende kwa mhifadhi dawa ambaye ni Mfamasia ampatie ili akampe mgonjwa.
Halafu kuna kikundi cha watu wachache wanaanzisha miradi wakaupa jina la ADDO ili manesi na madaktari wasomee kisha wakauze dawa.Mbona mahospitalini manesi na madaktari wanatoa dawa hawasomi ADDO? Utapeli mtupu!

USHAURI: NINI KIFANYIKE KATIKA UTOAJI WA DAWA NCHINI KWENE MADUKA YA DAWA?

1.KWENYE PHARMACY ZA JUMLA NA REJA REJA.
(i)Kwakua maduka haya ni makubwa na yana dawa nyingi, pawepo na Wafamasia ambao kazi zao ni kuhifadhi na kusambaza dawa kwenda kwa wauzaji au watoa dawa na siyo wao kuuza dawa kwa wagonjwa moja kwa moja maana wao hawana taaluma ya magonjwa.
(ii) Kuwepo na nesi au tabibu kwa ajili ya kutoa dawa kwa wagonjwa walioandikiwa kwenye vyeti au wawasikilize na kisha kubaini wanaumwa nini na kisha watoe dawa. Hizi ndizo kazi zao hasa kwenye maduka ya rejareja. Mfamasia hana utaalam wa kubaini ugonjwa, anaweza kuleta matatizo kwa mgonjwa.
(iii) Dawa zisitolewe bila cheti cha daktari katika duka lolote na ukaguzi wa kila mara ufanyike. Maana anaweza kutoa dawa mtu ambaye hana taaluma ya magonjwa ikiwa mgonjwa hana cheti na kuleta madhara makubwa.

2. KWENYE MADUKA YA DAWA MUHIMU
Kwakua maduka haya mengi yapo sehemu ambazo ziko mbali na huduma za afya, wataalam wenye taaluma za kubaini mgonjwa anaumwa nini kupitia dalili waachwe wauze au watoe dawa. Hawa ndio waliosomea Magonjwa,dalili pamoja na kutibu. Hapa anaweza kukaa daktari au nesi akauza dawa. Kumwambia Mfamasia akae dukani auze dawa wakati hajasomea dalili wala kubaini magonjwa ni kutaka kuleta madhara makubwa kwa wagonjwa.
Kwakua maduka haya hayana dawa nyingi,uhifadhi unaweza kufanywa na daktari au nesi mwenye stoo maana pia wamefundishwa kipengele hicho.

HITIMISHO .
Nishsuri tuwe na chombo cha ukaguzi wa maduka ya dawa ambacho kitahusisha wanataaluma wa Famasia,Udaktari na Uuguzi ili ifanye kazi ya kusimamia maduka ya madawa na isifanywe na Barazaa Famasia wala TMDA. Hatutaanza sisi, mataifa ya wenzetu wanafanya hivi na wamefanikiwa sana wala hawana migogoro kama hii ya kwetu. Baraza la Famasia libakie kazi yake kudhibiti taaluma na siyo kukagua maduka ya dawa.TMDA wanamajukumu makubwa wabakie kukagua dawa zinazoingia nchini na vifaa tiba na kukakua ubora wa madawa viwandani huko zinakotengezwa, kwenye maduka ya dawa kiundwe chombo maalumu kijitegemee

Prof Patrick Koboko(MD,MMED, PhD in Human anatomy
 
Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu apiga marufuku manesi kufanya kazi katika maduka ya dawa za binadamu (pharmacy) kuanzia Desemba 30, 2017

Back
Top Bottom