Waziri wa Afya Ummy Mwalimu, aagiza kusimamishwa kazi kwa Mkurugenzi wa Maabara ya Taifa ya Afya ya Jamii na Meneja udhibiti na ubora

Ila swab kuweza kutofautisha kwa macho kuwa haikutoja kwa binadamu Ni vigumu Sana,,maana kunakuwa na unyevu tu kwenye pamba.

Macho hayawezi kudetermine kuwa huu unyevu umetoka kwenye mbuzi ama papai.

Kuna testing Aina tatu katika kudetermine infection,
1molecular test-ambayo hi ndo wanatumia kipimo Cha PCR,,wanaangalia RNA ya virus,wanaconvert into DNA kuweza kubaini uwepo wa virus,bacteria.

2,Culture testing- hii vipimo vinakuwa cultured ili kukuza bacteria,virus.
3,Antibodies test-hii wanapima damu ili kuweza kubaini antibodies dhidi ya ugonjwa huska,

So sielewi Hawa wataalamu vipi walishindwa kutofautisha RNA ya virus na ile ya maji ya papai
 
Mbona siwaoni wenzetu wa vyombo vya ulinzi na uhasama kweye hii kamati
 
Hawawezi kutoa uchunguzi wa haki maana wanajua Magufuli anataka nini toka kwao. Anataka "negatives only". watapeleleza anataka kusikia nini, wataandika hayo hayo!

Moreover, Profs are a favorite "recipe" of magufuli, si ajabu wakafanya hivyo ili kesho awateue in various positions za "ulaji" mimi sina imani kabisa na jopo hilo kwa mazingira ya sasa na Rais wetu!
 
Nimeona hapo mwisho wanasema shughuli za upimaji zinaendelea.
Ila hili lingetokea tu baada ya speech ya jana.Nilifahamu lazima uchunguzi upite.
Hata sifahamu kuna kosa gani hapo sasa.
 
Nafikiri hawatakuta madudu hata wakikuta hayata kuwa makubwa...
 
Nchi ya maajabu hii. Ngoja tuje kusikia Waziri wa Habari na utamaduni kumsimamisha "kazi" kigogo2014 kutojishughulisha na Twiiter hadi hapo taarifa ya kamati iliyoundwa kuchunguza maabara.

Hivi kama wanautaka ukweli kwa nini kamati hiyo ishikaribishe wataalamu toka nje mfano WHO na taasisi za magonjwa ya kuambukiza?

Hao wote mpaka wastaafu wanalipwa na serikali iliyo chini ya MTU aliyeituhumu maabara ya taifa kuwa inatumiwa na mabeberu. Hapo hakuna jipya Ila kuhalalisha vifo vya Watanzania
 
Pole dada nakuambia wakifuata sayansi utaibuka kidedea katika hili.
Dr-Nyambura.jpg
 
Wanawaonea tu ,tatizo wanaweka siasa mbele taaluma nyuma mi nadhani wa kuwajibika ni waziri na serikali kwa ujumla

Maswali ni mengi, je hivyo vifaa vikingizwa wrong specimen majibu yatakuwa accurate?

Wapimaji wanafanya kazi kulingana idadi ya vipimo kwa siku, mean hawapo overwork?
 
Nilishangaa mpaka Leo hatuna kamati ya Korona
Hakuna kamati ya wanasayansi ya kudeal na Corona,ila leo imeundwa kamati ya kuchunguza wataalam ambao huwa wanadeal na magonjwa yote ya mlipuko. Leo ndo wanatiliwa shaka jamani.

Yaani inamanisha tuna wagonjwa maelfu kitu ambacho Magufuli hataki kuamini. Namshangaa anategemea nini kama maisha yanaendelea kama kawaida kama vile hakuna Covid.
 
Back
Top Bottom