Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 117,341
- 217,367
Amguse Makonda aone kama hajatimuliwa kwenye uwaziri kama Mbwa koko aliyekunywa maziwa ya mtoto .
Mkuu ,Kwa hiyo tuna Makamu wa Raisi na Naibu Raisi?Naibu rais anaruhusiwa kutangaza na wewe Ummy Kama roho itakuuma hama Dar
Mkuu kuna kipindi huwa hueleweki kabisa,siku Makonda namtangaza mgonjwa wa Corona,kuna uzi ulikuja hapa jamvini,nikakunukuu ukanijibu kuwa kila kiongozi anayo mamlaka ya kumtangaza mgonjwa kutokana na nafasi ya madaraka aliyonayo, akaanza na DC, RC mpaka ngazi ya juu kabisa. Lakini leo baada ya tamko la waziri,unaunga tena hoja juu ya mleta uzi huu,sasa tukueleweje?Naunga mkono hoja
P
Kwahiyo wewe kuombea Corona ije Tanzania ili umukomoe Rais Halafu ukajikuta umeikomoa familia ya Mbowe ndo kutokukosea eeh?Bashite bhana kila afanyalo ni mwendo wa kukosea tu
Mdomo unatakiwa kutamka ulichoelekezwa na akili. Lakini ukikosa akili, ni lazima mdomo utakuwa unaropoka utakavyo.Makonda msema ovyo sijui kama amemsikia waziri wa Afya maana yule jamaa mdomo wake anaujua yeye mwenyewe
Nini kifanyike ili kudhibiti hiyo haliMdomo unatakiwa kutamka ulichoelekezwa na akili. Lakini ukikosa akili, ni lazima mdomo utakuwa unaropoka utakavyo.
Nini kifanyike ili kudhibiti hiyo hali
Ilo ccm hawawezi kukubali kamwe maana wanajua wana madudu mengi wameyafanya na wataendelea kuyafanya.Ni kutoa kinga ya kikatiba kwa mtu yoyote kutoshitakiwa. Tukifanikiwa hilo nidhamu itarejea kwenye mkondo wake.
Labda ana undugu na Magufuli kama ilivyo kwa Msigwa.Hivi huyu Makonda Ana ndagu katika serikali hii??
Ndio maana kasema marufuku au ulitaka afanyaje?Mtoto wa Mbowe kajitaja mwenyewe nae?
Mkuu kuna kipindi huwa hueleweki kabisa,siku Makonda namtangaza mgonjwa wa Corona,kuna uzi ulikuja hapa jamvini,nikakunukuu ukanijibu kuwa kila kiongozi anayo mamlaka ya kumtangaza mgonjwa kutokana na nafasi ya madaraka aliyonayo,akaanza na DC,RC mpaka ngazi ya juu kabisa.Lakini leo baada ya tamko la waziri,unaunga tena hoja juu ya mleta uzi huu,sasa tukueleweje?
Wewe ni mgeni Tanzania mkuu? Kama si mgeni basi unauliza jibuMkuu ,Kwa hiyo tuna Makamu wa Raisi na Naibu Raisi?
Amguseje tena?!Amguse Makonda aone kama hajatimuliwa kwenye uwaziri kama Mbwa koko aliyekunywa maziwa ya mtoto .
Safi sana!Ndio maana kasema marufuku au ulitaka afanyaje?
Ndo Commander in Chief wa wasiojulikana,refer taarifa ya wamarekaniMakonda doesnt deserve to be the governor of Dar
Ila kwa kubakishwa kwake pengine ana umuhimu na mambo ya siri beyond our visibility
Mambo ya siri sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwanini bwashee?Hawa wanaowekwa Karantini na wagonjwa wanatakiwa wanyanganywe simu
Sent using Jamii Forums mobile app