Ebu onyesha udhibitisho wa Mbowe kuomba Corona kuingia Tanzania.Tulimaliza kutaja siku ile , il tumuumbue Mbowe,maana.technically aliomba ugonjwa huo uingie nchini.
Kazi ilikwisha siku ile
Mtoto wa Mbowe kajitaja mwenyewe nae?
Kwa nafasi yake anaweza kuwa na access ya kujua wagonjwa ni kina nani na wanahudumiwaje ili wasisambaze!Sasa shida inakuja pale kiongozi anapokuwa hana utimamu yaani mpuuzi ndio tunaona haya!Ummy asihangaike na Makonda, aanze na Daktari aliyempelekea Makonda taarifa za mtoto wa Mbowe. Wakati mwingine si vema kusumbuka na Spika, hangaika na radio.
Angekuwa katangaza mpinzani ndio ungejuwa uimara wa jeshi la poliCCM!Kamateni Kwanza huyo aliyeanza kutangaza watu, na mspofanya hivyo itakuwa ni mwendelezo wa kuonewa wanyonge
Mzee wa kuharibu...Bashite bhana kila afanyalo ni mwendo wa kukosea tu
kamanda wa watu wasiojulikana!.Makonda doesnt deserve to be the governor of Dar
Ila kwa kubakishwa kwake pengine ana umuhimu na mambo ya siri beyond our visibility
Mambo ya siri sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Week hii ni nani aliemtaja mgonjwa wa corona adharani?Waziri hajamtaja makonda lakini bwashee!
Shilawadu ni Azam kweli?!Au Labda Dudley katengenezewa ili press ipatikane!! Kulikua na kipindi Azam kinaitwa Shilawadu, zamani hizo!!
Ni kweli waziri amekataza mtu yeyote, Makonda hayupo kwenye hilo ‘kundi’ la mtu yeyote!!Waziri hajamtaja makonda lakini bwashee!
Labda 360, 350! Ila kilikuwepo kipindi hiko, wali wai kutengezewa kipindi wale!Shilawadu ni Azam kweli?!
Kuna tofauti kati ya " yoyote" na kuwa specific bwashee!Ni kweli waziri amekataza mtu yeyote, Makonda hayupo kwenye hilo ‘kundi’ la mtu yeyote!!
Shilawadu ni Clouds tv bwashee!Labda 360, 350! Ila kilikuwepo kipindi hiko, wali wai kutengezewa kipindi wale!
Maendeleo hayana vyama mkuu!Ndicho hicho papalai! Sijakupinga! Kwani maendeleo yana vyama?!