Waziri wa Afya: Ni marufuku kabisa kutaja majina ya wagonjwa wa Corona, Mwana FA, Sallam na Isabela walijitangaza wenyewe siyo Serikali

mdudu

JF-Expert Member
Feb 6, 2014
2,485
2,000
Naunga mkono hoja
P
Mkuu kuna kipindi huwa hueleweki kabisa,siku Makonda namtangaza mgonjwa wa Corona,kuna uzi ulikuja hapa jamvini,nikakunukuu ukanijibu kuwa kila kiongozi anayo mamlaka ya kumtangaza mgonjwa kutokana na nafasi ya madaraka aliyonayo, akaanza na DC, RC mpaka ngazi ya juu kabisa. Lakini leo baada ya tamko la waziri,unaunga tena hoja juu ya mleta uzi huu,sasa tukueleweje?
 

Bams

JF-Expert Member
Oct 19, 2010
8,356
2,000
Makonda msema ovyo sijui kama amemsikia waziri wa Afya maana yule jamaa mdomo wake anaujua yeye mwenyewe
Mdomo unatakiwa kutamka ulichoelekezwa na akili. Lakini ukikosa akili, ni lazima mdomo utakuwa unaropoka utakavyo.
 

Chrismoris

JF-Expert Member
Oct 27, 2017
13,205
2,000
Ni kutoa kinga ya kikatiba kwa mtu yoyote kutoshitakiwa. Tukifanikiwa hilo nidhamu itarejea kwenye mkondo wake.
Ilo ccm hawawezi kukubali kamwe maana wanajua wana madudu mengi wameyafanya na wataendelea kuyafanya.
 

wa kupuliza

JF-Expert Member
Jun 15, 2012
3,810
2,000
Mkuu kuna kipindi huwa hueleweki kabisa,siku Makonda namtangaza mgonjwa wa Corona,kuna uzi ulikuja hapa jamvini,nikakunukuu ukanijibu kuwa kila kiongozi anayo mamlaka ya kumtangaza mgonjwa kutokana na nafasi ya madaraka aliyonayo,akaanza na DC,RC mpaka ngazi ya juu kabisa.Lakini leo baada ya tamko la waziri,unaunga tena hoja juu ya mleta uzi huu,sasa tukueleweje?
Njaa ikihamia kichwani ni shida mkuu.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom