Waziri wa afya, naibu na katibu mkuu jiuzulu

mwandiga

JF-Expert Member
Dec 5, 2011
1,506
661
Muda umefika kwa hawa watu watatu kujiuzulu. Maisha ya watanzania maskini yanapukutika waziri amekaa kimya kama hawaoni,rais nae yupo kimya sijui kwa nini asiwafukuze hawa mara moja. Watanzania saa ya ukombozi ni sasa, wakikataa kujiuzulu tuwapopoe na mawe
 
Mi nilifikiri unasema rais ajihudhuru kumbe wewe unaendekeza ngonjera zilezile za kukwepa kuondoa tatizo!. Hivi wewe huoni kuwa tatizo ni serikali na si individuals?
 
Back
Top Bottom