Waziri wa afya hana tofauti na wauwaji wa kimbari!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Waziri wa afya hana tofauti na wauwaji wa kimbari!!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Pdidy, Mar 11, 2011.

 1. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #1
  Mar 11, 2011
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,595
  Likes Received: 5,776
  Trophy Points: 280
  Wakati najiuliza hivi kwa nini manesis na ma dk wa muhimbili mwananyamala amana wanaangali a mtu akifa kisa hana 2500 jana nimejua kumbe hizi roho zinatoka kwa mabosi wao na hivyo dawa ni kuondoa uozo wa juu kabla ya kukimbilia maminesi iliojichokea na maisha muhimbili,amana mwananyamala na kweingineko

  hivi majuzi mh waziri wa afya alitamka pumba ambazo akiulizwa maswali anabwabwajja kama sie dk mpaka najiuliza hii udk wa kuchakuchuliwa ama ndio yakina magufuli,na wengineo....uwezi ona mtu anakaribia kufa anajua dawa ni hii alafu wewe unasema usimpe mwache afilie mbali tukiendelea na uchunguzi

  mh waziri nenda kwenye makabrasha yako wapo watu walikuja na dawa za ukimwi na kusema ukinywa unapona mkazuia watu wanaendeelea kufa kama kawaida au mnaona faida kukamatazile 25,000 za monchwari kila siku

  hivi muislamu gani wewe usie na hata roho ya huruma,,uwezi kuwa msilamu tunaowajua hata kidogo na kwa kukusaidia nenda katubu dhambi zako ulizowatangazia watanzania kabla shetani ajakupeleka kiti cha jehanum,,,,kweli watu wanakiri wanapona wah mabosi wako wanakunywa wanakiri kupona leo hii unawekewa na picha za wakuu wa polisi unataka nini wewe hija..hili jina la kilaana kabisa sijui ulilipata wapi???

  Unaswali sala 5 kweli wewe ama ndio wale matapeli wa dini mnajichubua usoni kuonekana mko clear..mh waziri narudia tena babu wa loliondo ameshindwa kukwambia tu nasema ukome na ukome kabisa kama........tuachie babu yetu tena kama huna shida nae waache watanzania wapate wanachoitaji...unaambiwa na mkuu wa mkoa hiyo dawa ni imani unafikiri ukienda kupima utapata kitu si unatuletea za kina comedy

  tumachoka kama hizo dawa zenu mlizooiba na mnazoendelea kuiba za arv nk aziendi zirudisheni mkagawe bure..waacheni watu wanywe kikombe cha uzima wa bwana
   
 2. Sizinga

  Sizinga JF-Expert Member

  #2
  Mar 11, 2011
  Joined: Oct 30, 2007
  Messages: 7,924
  Likes Received: 455
  Trophy Points: 180
  anataka ''cheap populality'' kama magufuli...kumbe ndio anazidi kujiharibia...duh
   
 3. Chimunguru

  Chimunguru JF-Expert Member

  #3
  Mar 11, 2011
  Joined: May 3, 2009
  Messages: 9,843
  Likes Received: 270
  Trophy Points: 180
  Hata kwa risasi watu wataenda tuuuu
   
 4. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #4
  Mar 11, 2011
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,595
  Likes Received: 5,776
  Trophy Points: 280
  Mpuuzi kweli huyu ila biblia inasema asemacho mtu ndicho kilicho nafsini mwake so huyu bana ana tofauti na wauwaji kabisa wa rwanda na ikiwezekana apelekwe icc hana adabu kabisa mtu mzima na udk wake wa kuchovya
   
 5. M

  Mkono wa Tembo Member

  #5
  Mar 11, 2011
  Joined: Mar 10, 2011
  Messages: 39
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mimi nilitegemea waziri atatoa pumba kama alizotoa jana, ujuwe kisukari nkinafadhiliwa na wazungu na wale jamaa katka hosp zetu wanapigana kila siku kupangwa ktk kiteno cha kuhudumia wagonjwa wa kisukari. kwa upande mwingine zile NGOs zinazotoa ARV, na kimsingi hawa jamaa wa serkali mfano mtu kama waziri ndio wamiliki wa hizi NGO. Hivyo kwa maoni yangu wasingeweza kumruhusu babu aendeleze ufunuo wake. Ni roho mbaya na wauwaji wakubwa! naunga mkono hoja ya kuwasiliana na Ocampo wa ICC
   
 6. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #6
  Mar 11, 2011
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,595
  Likes Received: 5,776
  Trophy Points: 280
  Naomba namba ya ocampo jamani wa icc nimechoshwa na mauwaji ya hospitalini sasa ya loliondo haya tutayamiliki wenyewe..hivi lile basi la ndugu zake wa mbeya limefika salama??
   
 7. K

  Kivia JF-Expert Member

  #7
  Mar 11, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 278
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Hakika mleta thread hii huna akili, serikali haiwezi kuacha watu wadanganye.huyu babu ni mshirikina ndo mana hataki dawa isambazWE kuwapa watu. Hii ni DECI nyingine. Kakobe, na waislam wameshatahadharisha watu wasende. Mbona hatujapata mtu aliyethibitishwa kuwa na ugonjwa kisha akanywa akapona na akapimwa akawa hana ugonjwa. Ndg usiwe mwepesi kudanganyika.
   
 8. Lutala

  Lutala JF-Expert Member

  #8
  Mar 11, 2011
  Joined: Jun 17, 2010
  Messages: 845
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 35
  Namwonea huruma. Atajuata kuingia kwenye siasa. Kaanza kutoa maamuzi kwa kuwa kapokea amri kutoka kwa waliokwisha kunywa dawa.
   
 9. T

  TUWEKANE BAYANA Member

  #9
  Mar 11, 2011
  Joined: Mar 10, 2011
  Messages: 45
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ni upuuzi tuu.. Zama za watu kuoteshwa na mungu zishapita.. Saivi ni zama za wajasiariamali.. Babu anatafuta mkate wake wa kila siku hana lolote.. Hao wanopona mbona hawatajwi majina.. Kumruhusu babu ni kurudisha nyuma juhudi za kupambana na ukimwi..
   
 10. Pepombili

  Pepombili JF-Expert Member

  #10
  Mar 11, 2011
  Joined: Dec 20, 2010
  Messages: 439
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  kwani muhusika wa mauaji ya kimbari alikuwa waziri wa afya ?
   
 11. Obhusegwe

  Obhusegwe JF-Expert Member

  #11
  Mar 11, 2011
  Joined: Dec 28, 2008
  Messages: 232
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 33
  Kati ya watu nilokuwa nawaheshimu humu JF mmojawapo ni Pdidy. Kumbe hamnazo kabisaaaaa! How comes katika dunia ya sasa unaweza kuamini uponyaji wa aina hiyo? Najua utatukana sana, lakini time will tell, at the end of the day sijui mtajificha wapi na comment zenu eti dawa ya Babu! How comes mnaamini such a cheap crap???? This JF now inakuwa cheap sana kama ma-great thinker wenyewe tulio nao ndo hawa!
   
Loading...