wazunguwawili
JF-Expert Member
- May 29, 2019
- 3,984
- 4,131
Covidol inauzwa tshs 40,000.
Unataka kusema mch. Rwakatare na Mitimingi hawakukabidhi maisha yao kwa YesuPamoja na hayo yote, cha muhimu kufanya ni KUYAKABIDHI MAISHA YAKO KWA BWANA YESU. Ukiyakabidhi maisha yako kwa Kristo, unapata uhakika wa maisha haya na yale yajayo. Yesu alikufa akafufuka akamshinda yule aliyekuwa na nguvu za mauti yaani ibilisi. WAEBRANIA 2:14-15.
Tunapokuwa kwa Kristo tunaokolewa na mambo mengi, mojawapo ni hofu ya kifo. Tunawekwa huru mbali na hofu ya mauti.
hakika YESU ni BWANA na Mwokozi
Unapoyakabidhi maisha yako kwa Kristo sio kwamba hutokufa, utakufa lakini unakuwa na uhakika wa kupumzika na Kristo milele na milele.Unataka kusema mch. Rwakatare na Mitimingi hawakukabidhi maisha yao kwa Yesu