Kwa nini lkn?
Hivi bado kuna viongozi wana roho mbaya kama za wanyama?
Unaanzaje kumnyanyasa mfanyakazi? wewe ni Mungu?
Kwa kweli hakuna kitu huwa kina nikera kama baadhi ya viongozi kuwanyanyasa watumishi wa chini na kuwaundia zengwe ili wahamishwe au hata kufukuzwa kazi.
Viongozi wa aina hiyo wapo wengi sana karibu katika kila ofisi za Umma wapo hao, wizara husika, makatibu wakuu chunguzeni mambo kama hayo yanawaumiza watu wasio na hatia bure.
Sent using Jamii Forums mobile app