kibaravumba
JF-Expert Member
- Dec 21, 2012
- 6,634
- 7,010
Kwa miaka Mungu wizara ya afya imekuwa na semina,warsha,makongamano,mafunzo na vikao vya kazi kwa ajili ya kujadili vifo vya mama na mtoto.Wahudhuriaji wa hizo semina zisizoisha,wamekuwa wale wale na kama kungekuwa na tathmini ya fedha zilizotumika ni bilioni nyingi huenda ikashangaza kuona ni nyingi kuliko hata bajeti ya dawa za wazazi na watoto zilizowahi kununuliwa kwa kipindi chote.
Pamoja na semina na warsha hizi,bado huduma so nzuri,hospitality nyingi zina uchakavu,vifaa hakuna na hata wanaofanya warsha na semina hawafanyi kazi!Ni bora upige marufuku ili kama kuna mtu anasaidia,basi pesa hiyo iende kwenye ununuzi wa vifaa na dawa.