Nimemsikia Waziri Ummi kwamba atatufutia likizo yetu ya siku tano ya uzazi kwa kina baba sababu hatukai nyumbani tunashinda tunakula bata na washikaji zetu.
Waziri; tunaomba fanya utafiti hizo siku tano tunashinda nyumbani huku tukienda sokoni kununua mapochopocho ya mlo kamili wa mama mzazi....tunategeneza mitori, ndizi na tunasaidia sana kukaa na wake zetu kuwapa faraja.
Tena napendekeza ziwe siku 10; sababu 5 katoto kanakuwa hata hakajaa za kuona sawasawa!!
Wanaume mpoo??