Waziri Ummy Mwalimu usifute likizo ya uzazi kwetu kina baba

FUSO

JF-Expert Member
Nov 19, 2010
31,553
37,711
Nimemsikia Waziri Ummi kwamba atatufutia likizo yetu ya siku tano ya uzazi kwa kina baba sababu hatukai nyumbani tunashinda tunakula bata na washikaji zetu.

Waziri; tunaomba fanya utafiti hizo siku tano tunashinda nyumbani huku tukienda sokoni kununua mapochopocho ya mlo kamili wa mama mzazi....tunategeneza mitori, ndizi na tunasaidia sana kukaa na wake zetu kuwapa faraja.

Tena napendekeza ziwe siku 10; sababu 5 katoto kanakuwa hata hakajaa za kuona sawasawa!!

Wanaume mpoo??
 
Sisi wanaume hata tufanye nini kwa wanawake zetu, hua hawatosheki. Likizo ya uzazi kwa wanaume hata uwe unapiga deki, unafua nguo za mtoto, unapika vitumbua na mandazi kuiendelezea biashara ya mzazi, unamlisha kwa kijiko mzazi... Na bado utaambia huna heri wala hutoi msaada.
 
Umy mwalimu yupo busy tanga anafungua matawi ya chama nahs anajiandaa kuchukua Jimbo mwakan
 
Nimemsikia Waziri Ummi kwamba atatufutia likizo yetu ya siku tano ya uzazi kwa kina baba sababu hatukai nyumbani tunashinda tunakula bata na washikaji zetu.

Waziri; tunaomba fanya utafiti hizo siku tano tunashinda nyumbani huku tukienda sokoni kununua mapochopocho ya mlo kamili wa mama mzazi....tunategeneza mitori, ndizi na tunasaidia sana kukaa na wake zetu kuwapa faraja.

Tena napendekeza ziwe siku 10; sababu 5 katoto kanakuwa hata hakajaa za kuona sawasawa!!

Wanaume mpoo??
DUUUH AISEEE
 
Hizi ndio mambo zinafanya tudharauliwe sana na wenzetu.

Suala la likizo ya uzazi nchini ni tatizo sana. Taasisi zinazojitambua kama Umoja wa Mataifa likizo ya uzazi kwa mwanaume ni siku 30 paid leave.

Tena unawasilisha tu cheti cha kuzaliwa cha mtoto bila cheti cha ndoa. Maana sera inasema kama mwanamke anaweza kupata mtoto nje ya ndoa, kwanini mwanaume asipate haki hiyo ya likizo ya uzazi kama hana ndoa.

Tuna safari ndefu sana...ila tutafika inshalaah
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom