Waziri Ummy Mwalimu mbona wizara yako ina ajira kada moja tu ya afya wakati kuna kada ya maendeleo ya jamii?

mpimamstaafu

JF-Expert Member
Jul 18, 2018
4,445
4,704
Wadau nimekuwa nafuatilia sana ajira za Wizara ya afya na maendeleo ya jamii inayoongozwa na mh.Ummy Mwalimu.Wizara hii imekuwa inatoa ajira za madaktari manesi na watumishi wengine wa afya lakini haijawahi kutangaza ajira za Maafisa Maendeleo ya Jamii.Ombi tunamwomba Waziri mwenye dhamana atufikirie na sie wenye kada ya Maendeleo ya jamii ili tutoe michango yetu kwa wananchi.
 
Wao wanaajiri maafisa ustawi wa jamii na si maafisa maendeleo ya jamii unaowataka wewe.
 
  • Thanks
Reactions: Auz
kozi nyingine za ajabu yaani unaenda chuo kusomea maendeleo ya jamii...!... Upotevu wa hela za bodi ya mikopo huu
 
Wadau nimekuwa nafuatilia sana ajira za Wizara ya afya na maendeleo ya jamii inayoongozwa na mh.Ummy Mwalimu.Wizara hii imekuwa inatoa ajira za madaktari manesi na watumishi wengine wa afya lakini haijawahi kutangaza ajira za Maafisa Maendeleo ya Jamii.Ombi tunamwomba Waziri mwenye dhamana atufikirie na sie wenye kada ya Maendeleo ya jamii ili tutoe michango yetu kwa wananchi.
Labda hamna uhitaji
 
Mchango wako katika jamii unaweza kuutoa hata kwenye jamii unayoishi hapo mtaani kwenu na sio lazima ukale kiyoyozi maofisini
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom