Waziri Ummy Mwalimu kuomba World Vision mshirikiane kujenga madarasa tozo mnapeleka wapi

Mung Chris

JF-Expert Member
Sep 12, 2017
3,367
3,778
Mhe Ummy ni Mgeni rasmi kwenye sherehe ya maika 40 ya World Vision Dodoma, anamuomba Mkurugenzi wa World Vision Gilbert washirikiane kujenga madarasa.

Najiuliza walisema tozo zinatosha kabisa kwenye ujenzi wa madarasa, madawati na Hospitali hili la kuomba msaada inakuwaje tena, hapa nadhani kuna changa la macho tunapigwa kuhusu mgao wa tozo na makusanyo.

Mhe Rais ziarani kuelekea Bagamoyo anaongea na wananchi anasema tozo zitatusaidia kutotegemea wafadhili kwenye miradi ya maendeleo ili tuepukane na wafadhili.

Nadhani kuna kitu hakiko sawa, kuna kudanganyana na kutudanganya sio bure hapa kuna kitu.
 
1630324497_1630324497-picsay.jpg
 
Inatisha sana
 
Kwani tozo zinafanyaje? Sipati jibu kwan JPM alipata wapi hela akafanya kazi zake?
 
Ukiwa muongo unatakiwa kuwa na kumbukumbu kitu ambacho wenzetu hawana
 
Mhe Ummy ni Mgeni rasmi kwenye sherehe ya maika 40 ya World Vision Dodoma, anamuomba Mkurugenzi wa World Vision Gilbert washirikiane kujenga madarasa.

Najiuliza walisema tozo zinatosha kabisa kwenye ujenzi wa madarasa, madawati na Hospitali hili la kuomba msaada inakuwaje tena, hapa nadhani kuna changa la macho tunapigwa kuhusu mgao wa tozo na makusanyo.

Mhe Rais ziarani kuelekea Bagamoyo anaongea na wananchi anasema tozo zitatusaidia kutotegemea wafadhili kwenye miradi ya maendeleo ili tuepukane na wafadhili.

Nadhani kuna kitu hakiko sawa, kuna kudanganyana na kutudanganya sio bure hapa kuna kitu.
Unadhani Pesa ya tozo itajenga kila daraja na kukidhi kila hitaji?

unaishi bongo Kweli?
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom