Waziri Ummy: Masoko na Stendi zote zinazomilikiwa na TAMISEMI kujengewa Visima vya Maji ili kukabiliana na moto

Daah! Mkuu umejenga hoja mpk hata waziri akija kuisoma hii atajua kuwa hajui kuwa hajui.
Bahari imezunguka jiji mto imezunguka soko na TBL walio na kisima kikubwa wapo mtaa wa pili lkn bado wameshindwa. Nimeipenda hii.

CCM ni ile ile!
Kamishina anasema walienda airport kutuata maji
 
Eti visima!!! tatizo kubwa la hawa viongozi wetu wanazani kuwa kiongozi furani ndo wewe umekuwa sasa na akili kubwa kuliko wote unaowaongoza laaah asha unaweza kuwa "mkuu lakini kichwani ipo mikate" si akili
 
Ni kama mji wa Dsm ndio umeanzishwa leo. Tuna safari ndefu sana kama Taifa.
 
Sawa ,

Magari je??

Rasilimali watu??

Fedha za dharura??

Au Nako tuseme ni mkono wa mtu.
 
Kulingana na chemistry ya form one,
"Water can not extinguish all the types of fire".
fano,moto utokanao na dosari ya umeme hauwezi kuzimwa kwa maji.
Maybe chemistry has recently changed.
 
Safi kabisa Ummy! Nakupenda uko quick in understanding! Natamani uwe ndiye ajaye
Achen matusi nyie naye rekodi zake tunazo za wizi pale mlimani city dialo amesema tuwe tunafanya fast track au umesahau mkuu

Kumbuka dialo n mwenyekiti CCM mkoa wa mwanza

Huyo labda awe mama kijacho ajaye
 
Proactive vs reactive

Kabisa yaani kwa kifupi wanakurupuka , katika ujenzi wa majengo makubwa ya huduma za jamii lazima kwenye michoro uweke jinsi ya kukabiliana na moto incase of emergency,Fire Hydrants ni muhimu sana kuwa nazo sehemu za huduma ya jamii.
 
Wakuu habari za usiku huu,

Kama mjuavyo kuna tatizo la miundombinu ya maji maeneo mengi muhimu hapa nchini kama Kariakoo ambako mkurugenzi wa fire alivyotueleza wameshindwa kuzima Moto kutokana na miundombinu ya maji kutofanya kazi.

Sasa tukubaliane kwa pamoja tujenge sanamu kulinda legacy au turekebishe matatizo ya maji maeneo yote nchini ili tatizo kama hili likinitokeza tuweze kulidhibiti.

Kipi bora, legacy au uhai wetu?
 
Back
Top Bottom