Na kama eneo halina maji ya ardhini je? Anyway sijui nani katuloga walahi!! Yani tunafanya vitu kwa kurupuka bila plans!!Waziri wa Tamisemi mh Ummy Mwalimu amesema Serikali itajenga visima vya maji kwenye masoko na stendi za mabasi zote zinazomilikiwa na Halmashauri ili kukabiliana na majanga ya moto pindi yanapojitokeza.
Chanzo: Radio One
Fahamu zimeanza kuwarejea sasa.Waziri wa Tamisemi mh Ummy Mwalimu amesema Serikali itajenga visima vya maji kwenye masoko na stendi za mabasi zote zinazomilikiwa na Halmashauri ili kukabiliana na majanga ya moto pindi yanapojitokeza.
Chanzo: Radio One
Stand mpya kule Moshi mjini Ina chem chem ya maji yanayotoka ardhini. Tuma fedha malizia Ile stand hutachimba kisima Cha majiWaziri wa Tamisemi mh Ummy Mwalimu amesema Serikali itajenga visima vya maji kwenye masoko na stendi za mabasi zote zinazomilikiwa na Halmashauri ili kukabiliana na majanga ya moto pindi yanapojitokeza.
Chanzo: Radio One
Hapo jua kuna pesa inataka kupigwa
Usishangae huko tunakokwenda hayo masoko yakamilikiwa na ccm.Kwanini tamisemi wamiliki ma ma soko??
Nia ni at least gari ikitoka kituoni iwe ina maji, hizo fire hydrants ni muhimu especially sehemu za biashara.Inshu sio visima kuchimbwa wapi, sasa wakivichimba kwwnye vituo vya zima mto mfano pale fire, moto unatokea mbagala hicho kisima kitakuwa na msaada gani?!!unaposema sio kila moto unazimwa na maji, ni kweli lakini vyovyote vile lazima maji yahitajike tu ktk uchanganyaji wa hizo chemikali, kutegemea na kundi la moto husika, ndio maana hakuna gari la zima moto lenye kutumia mchanga ktk kuzima moto,.cha msingi ni kujenga water hydrants kila sehemu za mji na ziwe na maji muda wote hii nayo ni changamoto nyingine!! ili moto kila sehemu unapotokea upatikanaji wa maji unakuwa karibu hapo!!
Na ukichimba kisima kwa mazingira ya stand ni lazima uweke na pampu ya kuvuta maji,sasa pampu nayo inatumia umeme.....mpaka hapo sijaelewa lengo la Waziri Ummy Mwalimu ni nini,
Kingine waziri wanashinndwa kujua sio kila moto huwa unazimwa kwa maji moto mingine inahitaji mchanga na carbon dioxide ,tu sasa kote huko tutajaza hivyo vituDaah! Mkuu umejenga hoja mpk hata waziri akija kuisoma hii atajua kuwa hajui kuwa hajui.
Bahari imezunguka jiji mto imezunguka soko na TBL walio na kisima kikubwa wapo mtaa wa pili lkn bado wameshindwa. Nimeipenda hii.
CCM ni ile ile!
Kweli mkuu. Form 2 nakumbuka tumefundishwa aina za mioto na vizimishio vyake. Ummy yatakuwa yashamtoka yote haya. Umri umeenda.Kingine waziri wanashinndwa kujua sio kila moto huwa unazimwa kwa maji moto mingine inahitaji mchanga na carbon dioxide ,tu sasa kote huko tutajaza hivyo vitu
Huyu Ni Mwanasiasa NjaaLeo ndo wamekumbuka au?
Mkuu sio kwamba zinapokuwa zimepaki huwa hazina maji, siku zote huwa zina maji, wanapopata taarifa ya moto huwa ni kwenda tu kwenye tukio, shida ni pale yanapokwisha hayo waliyonayo, pa kuyafuata ni mbali, ndio balaaa huanzia hapo,Nia ni at least gari ikitoka kituoni iwe ina maji, hizo fire hydrants ni muhimu especially sehemu za biashara.
Miaka 60 ya Uhuru aisee ccm ni janga kubwa Sana kwenye nchi yetuWaziri wa Tamisemi mh Ummy Mwalimu amesema Serikali itajenga visima vya maji kwenye masoko na stendi za mabasi zote zinazomilikiwa na Halmashauri ili kukabiliana na majanga ya moto pindi yanapojitokeza.
Chanzo: Radio One