Waziri Ummy: Masoko na Stendi zote zinazomilikiwa na TAMISEMI kujengewa Visima vya Maji ili kukabiliana na moto

Hilo sanamu sizan km litadum,Bora wajiwekeze kwny masuala ya msing ,utopolo mtupu,wasithubutu kuliweka
 
Waziri wa TAMISEMI, Mhe. Ummy Mwalimu amesema Serikali itajenga visima vya maji kwenye masoko na stendi za mabasi zote zinazomilikiwa na Halmashauri ili kukabiliana na majanga ya moto pindi yanapojitokeza.

Chanzo: Radio One
Hopeless kabisa hawa mawaziri wetu. Eti kujengewa visima!!!
 
Waziri wa TAMISEMI, Mhe. Ummy Mwalimu amesema Serikali itajenga visima vya maji kwenye masoko na stendi za mabasi zote zinazomilikiwa na Halmashauri ili kukabiliana na majanga ya moto pindi yanapojitokeza.

Chanzo: Radio One
Pathetic.
Mending the fence when the horse has already escaped.
Waswahili wanasema.
Mnakumbuka shuka wakati kumekucha
Watu wa Buza wanasema
Unakumbuka kondom wakati umemaliza na mimba ishaingia
 
Waziri wa TAMISEMI, Mhe. Ummy Mwalimu amesema Serikali itajenga visima vya maji kwenye masoko na stendi za mabasi zote zinazomilikiwa na Halmashauri ili kukabiliana na majanga ya moto pindi yanapojitokeza.

Chanzo: Radio One
Wakati moto ukiwaka umeme huzimwa kwenye eneo husika. Hivyo visima vita toa maji kwa kutumia huo huo moto?
Tusi ingize siasa kwenye majanga na maisha ya watu
 
Waziri wa TAMISEMI, Mhe. Ummy Mwalimu amesema Serikali itajenga visima vya maji kwenye masoko na stendi za mabasi zote zinazomilikiwa na Halmashauri ili kukabiliana na majanga ya moto pindi yanapojitokeza.

Chanzo: Radio One
Hatutaki visima kabla ya sanamu. Anzeni sanamu ya Bwana mkubwa, zitakazobaki kama zipo ndo mfikirie visima vyenu.
 
Back
Top Bottom