Hapa issue sio kupata unaupata kwa umalaya wako Kafie mbali hakuna wa kukuhurumia! Watu siku hizi tunajifariji ujinga UKIMWI ni hatari! Eti utalikuta jitu linasema ni kama malaria! Adhari ya ukimwi kwenye familia ni kubwa sana maana mgonjwa anaadhiri sana uchumi kwa matibabu! Tuwe makini na Kumwomba Mungu!Kwanza umeandika nini hapo mkuu, hivi unahisi wewe huwezi kuupata huo ukimwi.