Waziri Ummy: Ma-DED chanzo wanawake kupigana ofisini

Kwanza umeandika nini hapo mkuu, hivi unahisi wewe huwezi kuupata huo ukimwi.
Hapa issue sio kupata unaupata kwa umalaya wako Kafie mbali hakuna wa kukuhurumia! Watu siku hizi tunajifariji ujinga UKIMWI ni hatari! Eti utalikuta jitu linasema ni kama malaria! Adhari ya ukimwi kwenye familia ni kubwa sana maana mgonjwa anaadhiri sana uchumi kwa matibabu! Tuwe makini na Kumwomba Mungu!
 
Kwa hiyo mkurugenzi akishashiba manoti zile pisi kali zote anataka amiliki yeye? hapo kazi lazima ziyumbe.....
 
Hiyo ni moja kati ya sifa za viongozi wa Ccm. Sio ma ded tuu. Kwani hata bungeni ndio maneno yao hayo hayo
 
WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Ummy Mwalimu, amedai kuwa amebaini kuwapo wakurugenzi wanaume kutumia vyeo kujihusisha kimapenzi na watumishi wa kike.

stag%20ed.jpg
Amesema tabia ya wakurugenzi hao inasababisha baadhi ya watumioshi kupigana kwa sababu yao.

Aidha, amewapa tumbo joto wakurugenzi wapya 61 wa halmashauri walioteuliwa, hivi karibuni na Rais Samia Suluhu Hassan kwa kuwaambia kuwa wako chini ya uangalizi kwa miezi sita wakipimwa utendaji kazi wao.

Waziri Ummy aliyasema hayo jana kwenye mafunzo elekezi kwa wakurugenzi wa mamlaka za serikali za mitaa nchini na kusisitiza, kuwa hatavumilia uonevu na udhalilishaji, dhidi ya wanawake kwa kisingizio cha cheo cha ukurugenzi.

“Mimi Waziri ninayemsaidia Rais sitavumilia suala hilo. Sasa umekuwa mkurugenzi kila mfanyakazi mzuri kwenye halmashauri yako ni wako. hii hapana.

"Hili ni moja ya mada Katibu Mkuu atalisema hapa. Hatuwezi kwenda hivyo hawa ni binadamu lakini tunazo kesi wakurugenzi wanasababisha watumishi wanawake wanapigana kisa mkurugenzi. Mtu wa aina hii hafai wala hatoshi kuwa mkurugenzi," alisema huku akisema bado hajapata kesi za wakurugenzi wanawake.

"Sijapata kesi za wanawake, lakini wanawake wenzangu twende tukajiheshimu. Hii ni nafasi kubwa sana, siyo leo upo na huyu, kesho na huyu haileti taswira nzuri kwa kiongozi wa umma katika nafasi," alisema huku akiwataka wakurugenzi wanawake kulinda utu na heshima waliyopewa na rais na kuangalia watu wanaotoka nao kimapenzi
.

"Kuna mwingine ametongozwa amekataa basi hapelekwi semina. Anahamishwa kisa amemkataa mkurugenzi. Hebu tafuta nje ya halmashauri, lakini isiwe chanzo cha wanawake kupigana maana posho nayo huwa kubwa unajengewa nyumba, wanapewa gari inabidi wanawake tu wapigane,"alisema.

Kuhusu wakurugenzi wapya, Waziri Ummy alisema wako chini ya uangalizi kwa miezi sita na wanapaswa kuonyesha uwezo wao, kwenye utendaji kazi kwa kuwa waliteuliwa kwa kuangalia wasifu na utendaji kazi wao, maeneo waliyokuwapo awali.

“Niseme bila kupepesa macho, mpo kwenye uangalizi na tutapima utendaji wenu kwa sababu mliteuliwa kwa kuangalia, CV (wasifu) na utendaji wa huko mlikokuwa. Sasa kwenye kazi ya ukurugenzi ni watu ambao mtamsaidia Rais Samia kusimamia shughuli za utawala na maendeleo kwenye mamlaka za serikali za mitaa. Hatuwatishi mpo kwenye uangalizi baada ya miezi sita mimi na Naibu Mawaziri, Katibu Mkuu tutapeleka taarifa kwa rais, atafanya uamuzi,” alisema.

Pia aliwataka wakurugenzi wa zamani, ambao wameaminiwa tena kuongeza kasi ya utendaji kazi, huku akisema wengine wamerudi baada ya Rais Samia kuona awape nafasi tena.

“Mheshimiwa rais ameona asihukumu, labda kulikuwa na changamoto, kwa hiyo hii ni second chance, lakini kubwa ni imani kubwa kwa rais kwetu, mafunzo haya ni ya kukumbushana namna ya kutekeleza majukumu yetu kwenye mamlaka za serikali za mitaa,”alisema.

Alisema ni wakati wao kuonesha uwezo wao wa kiutendaji kwa Mamlaka ya uteuzi na watapimwa kwa matokeo ya kazi zao.

Pia alisema amepokea kesi za wakurugenzi kugombana na wenyeviti wao na kuwataka kutumia mafunzo hayo kujiepusha na migongano hiyo.

Kwa upande wake, Katibu Mkuu wa Ofisi hiyo, Prof. Riziki Shemdoe, alisema hadi juzi kuna halmashauri 22, ambazo hesabu zao hazijasomeka, kwenye mfumo wa fedha wa serikali.

Alitaja Halmashauri hizo kuwa ni Jiji la Dar es Salaam, Bahi, Mvomero, Newala, Newala TC, Chalinze, Kibaha, Songea, Madaba, Itilima, Manyoni, Songwe, Muheza, Bumbuli, Kilindi, Kishapu, Msalala, Shinyanga, Kahama na Lushoto.
Wanaume tukalilie wapi? tuna bakwa sana! tutoe utamu bure! ila tu sura zetu ni ngumu!! huwa tunakomaa! tunakausha make mwanaume huwezi sema nimebakwa! tumeumbwa ivo!

wanaume tunasoteshwa sana huko kwenye halmashauri ajili ya mapenzi, mpaka me unalia pooo!! ukiwa mlaini ndo basi tena ila wengine tunakomaa mpaka tumetoka, na majinayetu yapo huko, hayana maelezo, ila tunajua sisi chanzo ni Penzi!

ukimuacha binti wa mkurugenzi, Mkuu wa kazi, weee! unalo nakwambia!! tena huamishwi unakatiwa mshahara tu! maksudi, wanakutafutia bonge la sababu, wanakuacha hapo utajua wewe uende kazini au uzunguke zunguke kazini humo km chizi! lkn posho huna,

wanakutegea ufanye kakosa kidogo wana kusotesha si kawaida! au wanachunguza unapendelea nini saana!! wanakuachishia humo humo wanakuandikia maelezo mareeefu! sometimes ivi ivi tu! Ummy Usikae ofisini tu zunguka uone utakaa chini nakwambia!

mfano unaweza omba kwenda shule watakuzungusha weee! ile staki nataka sasa wewe nenda uone! ........shule hutaisoma na kazi wanakata posho yako!! ukitafuta part time wanakuita kazini! wewe yaani huko ni shida tupu! labda uwe mchawi hapo sawa!!

ke na ni watu wanatamani mno kuliko waname! tena wao wanaenda mbali wanaturoga kabisaaa!! hawa ndo wa kuanza nao kuwadhibiti! wanaume tunaonewa sana eti kwa sababu hatusemagi, eti wametuzaa! jamani heee!

Sasa uwe mkurugenzi ke'' eti wakuache kweli? wallah! unalo, Ummy ukitaka wape dawa ya kuwaondolea mvuto hao wakurugenzi wa kiume! manake si wao wanafanya maamuzi hayo, utafukuza wengi sana, jua wanarogwa mno!

wakurugenzi wanawake hawarogwi na wafanyakazi wa kiume! kabisaa amini maneno yangu! make wanaume hawanaga time na ulozi ndo maana hawa wakurugenzi wa kike wanaishiaga kugongwa na madereva wao me'' tu! si zaidi ya hapo, na ndo ilivo tunajua kila kitu!

Kwanza wana hela , mamlaka, umiliki, vijana, sasa kun amwanamke gani mwenye atamuacha huyu wa ivi kweli? hata km ungekuwa wewe kwa umri wako huo jinsi ulivo ivo Ummy!! fikiria tu! mkurugenzi kijana anajipitisha pitisha hapo mbele yako!

huumwi! huna shida, huna mawazo, hakuna kelele, huzongwi zongwi, no suspect!! ni kitu kinaita kwa afya! sasa Mkurugenzi awe Tata nyarusare utamuacha aende zake kirahisi tu? eti wakale wengine!!! km siyo kukamatafaster fursa?

Unajifanya hujui fursa? Mme/mke wako, fikiria tu kidogo kwanza ulimpata pataje sema ukweli wa nafsi! ..... km huta cheka mwenyewe hapo kwa kiti chako! hkn anae kuona wee cheka tuuu, mpaka ! ........ hata mtu akikuona hajui unacheka nini!!!
 
Wanaume tukalilie wapi? tuna bakwa sana! tutoe utamu bure! ila tu sura zetu ni ngumu!! huwa tunakomaa! tunakausha make mwanaume huwezi sema nimebakwa! tumeumbwa ivo!

wanaume tunasoteshwa sana huko kwenye halmashauri ajili ya mapenzi, mpaka me unalia pooo!! ukiwa mlaini ndo basi tena ila wengine tunakomaa mpaka tumetoka, na majinayetu yapo huko, hayana maelezo, ila tunajua sisi chanzo ni Penzi!

ukimuacha binti wa mkurugenzi, Mkuu wa kazi, weee! unalo nakwambia!! tena huamishwi unakatiwa mshahara tu! maksudi, wanakutafutia bonge la sababu, wanakuacha hapo utajua wewe uende kazini au uzunguke zunguke kazini humo km chizi! lkn posho huna,

wanakutegea ufanye kakosa kidogo wana kusotesha si kawaida! au wanachunguza unapendelea nini saana!! wanakuachishia humo humo wanakuandikia maelezo mareeefu! sometimes ivi ivi tu! Ummy Usikae ofisini tu zunguka uone utakaa chini nakwambia!

mfano unaweza omba kwenda shule watakuzungusha weee! ile staki nataka sasa wewe nenda uone! ........shule hutaisoma na kazi wanakata posho yako!! ukitafuta part time wanakuita kazini! wewe yaani huko ni shida tupu! labda uwe mchawi hapo sawa!!

ke na ni watu wanatamani mno kuliko waname! tena wao wanaenda mbali wanaturoga kabisaaa!! hawa ndo wa kuanza nao kuwadhibiti! wanaume tunaonewa sana eti kwa sababu hatusemagi, eti wametuzaa! jamani heee!

Sasa uwe mkurugenzi ke'' eti wakuache kweli? wallah! unalo, Ummy ukitaka wape dawa ya kuwaondolea mvuto hao wakurugenzi wa kiume! manake si wao wanafanya maamuzi hayo, utafukuza wengi sana, jua wanarogwa mno!

wakurugenzi wanawake hawarogwi na wafanyakazi wa kiume! kabisaa amini maneno yangu! make wanaume hawanaga time na ulozi ndo maana hawa wakurugenzi wa kike wanaishiaga kugongwa na madereva wao me'' tu! si zaidi ya hapo, na ndo ilivo tunajua kila kitu!

Kwanza wana hela , mamlaka, umiliki, vijana, sasa kun amwanamke gani mwenye atamuacha huyu wa ivi kweli? hata km ungekuwa wewe kwa umri wako huo jinsi ulivo ivo Ummy!! fikiria tu! mkurugenzi kijana anajipitisha pitisha hapo mbele yako!

huumwi! huna shida, huna mawazo, hakuna kelele, huzongwi zongwi, no suspect!! ni kitu kinaita kwa afya! sasa Mkurugenzi awe Tata nyarusare utamuacha aende zake kirahisi tu? eti wakale wengine!!! km siyo kukamatafaster fursa?

Unajifanya hujui fursa? Mme/mke wako, fikiria tu kidogo kwanza ulimpata pataje sema ukweli wa nafsi! ..... km huta cheka mwenyewe hapo kwa kiti chako! hkn anae kuona wee cheka tuuu, mpaka ! ....... hata mtu akikuona hajui unacheka nini!!!
Mh!!!!
 
Kya
WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Ummy Mwalimu, amedai kuwa amebaini kuwapo wakurugenzi wanaume kutumia vyeo kujihusisha kimapenzi na watumishi wa kike.

stag%20ed.jpg
Amesema tabia ya wakurugenzi hao inasababisha baadhi ya watumioshi kupigana kwa sababu yao.

Aidha, amewapa tumbo joto wakurugenzi wapya 61 wa halmashauri walioteuliwa, hivi karibuni na Rais Samia Suluhu Hassan kwa kuwaambia kuwa wako chini ya uangalizi kwa miezi sita wakipimwa utendaji kazi wao.

Waziri Ummy aliyasema hayo jana kwenye mafunzo elekezi kwa wakurugenzi wa mamlaka za serikali za mitaa nchini na kusisitiza, kuwa hatavumilia uonevu na udhalilishaji, dhidi ya wanawake kwa kisingizio cha cheo cha ukurugenzi.

“Mimi Waziri ninayemsaidia Rais sitavumilia suala hilo. Sasa umekuwa mkurugenzi kila mfanyakazi mzuri kwenye halmashauri yako ni wako. hii hapana.

"Hili ni moja ya mada Katibu Mkuu atalisema hapa. Hatuwezi kwenda hivyo hawa ni binadamu lakini tunazo kesi wakurugenzi wanasababisha watumishi wanawake wanapigana kisa mkurugenzi. Mtu wa aina hii hafai wala hatoshi kuwa mkurugenzi," alisema huku akisema bado hajapata kesi za wakurugenzi wanawake.

"Sijapata kesi za wanawake, lakini wanawake wenzangu twende tukajiheshimu. Hii ni nafasi kubwa sana, siyo leo upo na huyu, kesho na huyu haileti taswira nzuri kwa kiongozi wa umma katika nafasi," alisema huku akiwataka wakurugenzi wanawake kulinda utu na heshima waliyopewa na rais na kuangalia watu wanaotoka nao kimapenzi
.

"Kuna mwingine ametongozwa amekataa basi hapelekwi semina. Anahamishwa kisa amemkataa mkurugenzi. Hebu tafuta nje ya halmashauri, lakini isiwe chanzo cha wanawake kupigana maana posho nayo huwa kubwa unajengewa nyumba, wanapewa gari inabidi wanawake tu wapigane,"alisema.

Kuhusu wakurugenzi wapya, Waziri Ummy alisema wako chini ya uangalizi kwa miezi sita na wanapaswa kuonyesha uwezo wao, kwenye utendaji kazi kwa kuwa waliteuliwa kwa kuangalia wasifu na utendaji kazi wao, maeneo waliyokuwapo awali.

“Niseme bila kupepesa macho, mpo kwenye uangalizi na tutapima utendaji wenu kwa sababu mliteuliwa kwa kuangalia, CV (wasifu) na utendaji wa huko mlikokuwa. Sasa kwenye kazi ya ukurugenzi ni watu ambao mtamsaidia Rais Samia kusimamia shughuli za utawala na maendeleo kwenye mamlaka za serikali za mitaa. Hatuwatishi mpo kwenye uangalizi baada ya miezi sita mimi na Naibu Mawaziri, Katibu Mkuu tutapeleka taarifa kwa rais, atafanya uamuzi,” alisema.

Pia aliwataka wakurugenzi wa zamani, ambao wameaminiwa tena kuongeza kasi ya utendaji kazi, huku akisema wengine wamerudi baada ya Rais Samia kuona awape nafasi tena.

“Mheshimiwa rais ameona asihukumu, labda kulikuwa na changamoto, kwa hiyo hii ni second chance, lakini kubwa ni imani kubwa kwa rais kwetu, mafunzo haya ni ya kukumbushana namna ya kutekeleza majukumu yetu kwenye mamlaka za serikali za mitaa,”alisema.

Alisema ni wakati wao kuonesha uwezo wao wa kiutendaji kwa Mamlaka ya uteuzi na watapimwa kwa matokeo ya kazi zao.

Pia alisema amepokea kesi za wakurugenzi kugombana na wenyeviti wao na kuwataka kutumia mafunzo hayo kujiepusha na migongano hiyo.

Kwa upande wake, Katibu Mkuu wa Ofisi hiyo, Prof. Riziki Shemdoe, alisema hadi juzi kuna halmashauri 22, ambazo hesabu zao hazijasomeka, kwenye mfumo wa fedha wa serikali.

Alitaja Halmashauri hizo kuwa ni Jiji la Dar es Salaam, Bahi, Mvomero, Newala, Newala TC, Chalinze, Kibaha, Songea, Madaba, Itilima, Manyoni, Songwe, Muheza, Bumbuli, Kilindi, Kishapu, Msalala, Shinyanga, Kahama na Lushoto.
msiwatoe mnabaki na wazinzzi ofisini wa ninii ???
 
Back
Top Bottom