Hakuna tofauti na wanaolaumu utumwa, ukoloni kwa umaskini wa sasa.Piga hesabu ni 17Bil
na hapo juu ripoti ya wmaka jana ina onyesha 2015/2016 ni 19Bil.
Sasa Jiulize figa ya 28Bil kinatoka wapi kama sio CAG kawabeba, ukichunguza vizuri utaona kuna kama 9Bil imefichwa wajinga tusione kuw ani ya wapi na kuisingizia ni ya 2015/2016 wakati ukweli ni ya 2016/2017 amabayo inatupa deni kuu kuwa 26BIl na sio 17Bil matumizi ya 2016/2017 tu.