Waziri Ummy: Deni kubwa la matibabu ya nje lililoibuliwa na CAG halihusu Serikali ya Magufuli tu,ni malimbikizo ya nyuma

Kimbori

JF-Expert Member
Feb 21, 2012
4,336
2,000
Piga hesabu ni 17Bil
na hapo juu ripoti ya wmaka jana ina onyesha 2015/2016 ni 19Bil.

Sasa Jiulize figa ya 28Bil kinatoka wapi kama sio CAG kawabeba, ukichunguza vizuri utaona kuna kama 9Bil imefichwa wajinga tusione kuw ani ya wapi na kuisingizia ni ya 2015/2016 wakati ukweli ni ya 2016/2017 amabayo inatupa deni kuu kuwa 26BIl na sio 17Bil matumizi ya 2016/2017 tu.
Hakuna tofauti na wanaolaumu utumwa, ukoloni kwa umaskini wa sasa.
 

Bobby

JF-Expert Member
Jan 10, 2008
1,966
2,000
CAH anasema:

" Pia nilibaini ongezeko kubwa la deni la gharama za matibabu nje ya nchi kupitia Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto katika hospitali za India kutoka kiasi cha Shilingi 28,609,803,615.40 klichoripotiwa tarehe 30 Juni 2017 hadi kiasi cha Shilingi 45,731,070,267.31 kufikia tarehe 31 Desemba, 2017. "

MY TAKE:

HIvi hayo matumizi ya 28.6 - 45.7 amabyo ni almost 17 Bil ni madogo?

Kam kw amiaka yote mmekuta ni 28.6 na nyinyi mnasema manapunguza ndio kwa mwaka mmoja mnatuletea 17 bil ?

Mkuu mbona unawapendelea? Hilo ongezeko si la mwaka mzima ni la miezi 6 tu kwa mujibu wa nukuu ya CAG uliyoiweka yaani 30 June 2017 mpaka 31 Dec 2017. Haya ni matumizi ya serikali ya masikini wanyonge ambao hata Panadol hawazimudu mkuu.
 

josam

JF-Expert Member
Nov 22, 2011
2,236
2,000
Serikali haina awamu. mbona hawajajenga ikulu mpya kwa ajili ya awamu ya tano.Pia CAG hakusema deni la awamu ya tano. bali amesema deni la serikali ya Tz tena kwa mwaka wa fedha wa 2016/2017. Watu wengi Tz wana wanavyeti lakini elimu wameacha shuleni na vyuooni.
Hahahaaaa, dah!
 

kibhojela

JF-Expert Member
Mar 7, 2018
1,006
2,000
Mbona umeshikia sana bango hili swala, hapa ndipo unapopatia ujira wako nini? Mbowe & Co. wanaiba Mabilioni wengine mmekalia kumpigia makofi, achaneni na Raisi na Serikali yetu, you can go hang!
Kukosa elimu kubaya sana,kwahiyo hii ni serikali yako!???
 

Masai Moja

JF-Expert Member
Jan 9, 2018
208
500
Mbona umeshikia sana bango hili swala, hapa ndipo unapopatia ujira wako nini? Mbowe & Co. wanaiba Mabilioni wengine mmekalia kumpigia makofi, achaneni na Raisi na Serikali yetu, you can go hang!
Wewe unaleta ushabiki wa kipuuzi kwenye ukweli wa maisha ya Mtanzania? We unajua 1.5 trillion kujenga zahanati ngapi hapa nchini?
 

Masai Moja

JF-Expert Member
Jan 9, 2018
208
500
Angalau watueleze walizipiga hizo 1.5 Trillion kwa mtindo gani? Maana hii style zaidi ya ufisadi wote uliowahi kutokea katika historia ya Tanzania.
tapatalk_1523941642385.jpeg
 

monongo

JF-Expert Member
Oct 25, 2011
388
225
Sasa kama ni hivyo ukweli Upo wapi?ikiwa kila mmoja anajaribu kutetea upande wa serikali tu?
 

sosoliso

JF-Expert Member
May 6, 2009
8,521
2,000
Hiyo Ripoti ya CAG kila mtu anaijibu, mpaka Kafulila aisee.. Kukaa kimya nako na kuwaachia watendaji waongee ingependeza zaidi..
 

Kidibwe

JF-Expert Member
Apr 10, 2015
487
500
Katika mojawapo mwa mawaziri mzigo ni huyu mama badala ya kujibu hoja anatoa visingizio vya kipuuzi kwa kifupi deni hili limesababishwa na uzembe wa serikali ya CCM sasa kama raisi alikuwa Mkapa au Kikwete au Magufuli haibadilishi chochote....wakiona mambo mazuri yaliofanywa na serikali zilizopitwa wanataka ionekane wamefanya wao ila yakiwa mambo mabaya ya serikali iliyopita wanayakataa na kuyaruka isitoshe KISUKARI NA UKIMWI WA NDUGAI,MIMBA ZA KICHINA ZA BASHITE,KUWEKA KIMOTOR KWENYE MOYO WA FARU JOHN,KUMTIBIA MAMA YAKE MRISHO GAMBO.KUTIBIA KANSA YA NGOZI YA MWAKYEMBE yote bado yanafanyika kwenye serikali ya awamu ya tano..mama aache kupiga blah blah tuimarishe huduma zetu za afya ndani ya Tanzania ili wagonjwa wengi watibiwe hapa hapa punguza gharama za kuwapeleka nje.
 

Mr Miller

JF-Expert Member
Jan 24, 2017
11,191
2,000
Serikali haina awamu. mbona hawajajenga ikulu mpya kwa ajili ya awamu ya tano.Pia CAG hakusema deni la awamu ya tano. bali amesema deni la serikali ya Tz tena kwa mwaka wa fedha wa 2016/2017. Watu wengi Tz wana wanavyeti lakini elimu wameacha shuleni na vyuooni.


huyo waziri wenu anafikiri kila mtu ni zwazwa
 

Koryo2

JF-Expert Member
Nov 28, 2016
1,719
2,000
Mtumishi yeyote unapochukua ofisi yote mazuri/mabaya uliyoyakuta yanakuwa 100% ni ya kwako.
 
  • Thanks
Reactions: MTK

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom