abudist
JF-Expert Member
- Oct 25, 2009
- 850
- 780
Kwani serikali za awamu ya nyuma zilikuwa za Chadema au CUF? Tatizo la CCM wanataka sifa za kufanya mazuri tu. Lakini kwenye taarifa hii ya madeni mnaanza kutupiana mpira, eti ohoo siyo deni la awamu ya 5. Lakini hata serikali za nyuma si za kwenu CCM? Hebu kubalini majukumu ebo!