Awamu hii kazi unayo!!Hata iingie mara 1000, nchi yetu iko chini ya Raisi wetu makini hakuna kitakachoharibika!
Serikalini yenu na nani? Raisi wenu na nani? Kwani ikiingia awamu mpya kila kitu kinaanza upya? Mbona analipa madeni ya nyuma kila mwezi? Huyu ni Raisi wa wote hata ambao hawakumchagua.Mbona umeshikia sana bango hili swala, hapa ndipo unapopatia ujira wako nini? Mbowe & Co. wanaiba Mabilioni wengine mmekalia kumpigia makofi, achaneni na Raisi na Serikali yetu, you can go hang!
Anaweza kujibu kwani ni mara ya kwanza pesa kupotea?ok ummy vipi kuhusu wizi wa trillion 1.5 kuyeyuka kusikojulikana
Leo tena waziri wa Afya bi Ummy Mwalimu ameendelea "kujibu" report ya CAG.Waziri Ummy anasema eneo la deni la matibabu ya nje lililotajwa na CAG sio la awamu ya Tano,bali ni mrundikano wa madeni ya miaka ya nyuma,na hivyo serikali ya awamu ya tano isibebeshwe kana kwamba deni hilo limepatikani ndani ya miaka miwili ya uongozi wa awamu ya Tano.
Waziri Ummy anasema ili kukabiliana na deni hilo,serikali ya awamu ya tano kupitia wizara yake imesitisha ulipaji wa deni hilo mpaka wapate uhakiki,kwamba hili deni za zaidi ya mabilioni linahusisha nini hasa?Serikali inataka kujua kama deni hilo ni mjumuisho wa dawa,malazi na "Consultation Fee?".Serikali itakapojiridhisha basi ndio itaanza kulipa deni hilo.
Maana kuna uwezekano mtu akaondoka hapa kama kiongozi wa serikali,anasema anakwenda kutibiwa moyo,lakini kumbe anakwenda kupata huduma ya kupandikiziwa mimba sababu ya matatizo ya uzazi,kitu ambacho katika "packages" ya matibabu yanayofadhiliwa na serikali nje ya nchi,hili la kupandikizwa mimba sio sehemu ya "packages" hizo.
Hii kujibujibu ni kutaka kusema hii serikali haina wezi??Kwanini wanavunja utaratibuuu?Halafu kila mtu akija anasema "Sehemu kubwa ya hii report ya CAG ni ya miaka ya nyuma,hadi July 2017,lakini baada ya hapo,serikali ya awamu ya tano imebadilisha sana mambo".Kwanini wanaitoa serikali ya Awamu ya Tano katika hizi tuhuma za CAG.
Baya zaidi akamnyima mwenzie haki yake ya msingi akiwa kama kiongoz na mtumishi wa kibonge.hilo ni deni la serikali ya ssm, hawawezi kukwepa mabaya na kukumbatia ma
zuri aliyoacha JK, by the way kuna mtu alikaa India 3months badaye akakaa 4months..naomba kuishi hapo
Mkuu ni kweli, siasa za nchi hii zinawafaa akina Bajaj. Mlangwa, msukuma na wengineo. Kwa hao wanazuoni ni kujidhalilisha tu.Hadi kilaza ummy mwl nae anajifanya kupangua hoja za CAG???.......ifike kipindi hawa maprofessor watulie tu pale udsm waachie vilaza waendeshe nchi
Imenipa shida kung'amua hii tafsida, hatimaye nimeweza! Hii inji hii ina mambo!You my Teacher anamtetea Mzee, unakumbuka You my Teacher ulimsemea Mwali kwa mzee kuwa hakuheshimu sasa Mwali amepata kazi kubwa kanda ya Afro.
You my Teacher ulikutana na Mwali kwenye mkutano kule nchi flani na ukamwambia yaliyopita yamepita, kumbe ule umbea wako You my Teache ulikuwa baraka kwa msichana Mwali.
You my Teacher mzee hatakuwa na hii nafasi milele.
Hebu toa habari kamili mkuu. Kivipi?mwambie umi anaongea nn zaidi ya msingi kiuno ndio kimemfikisha hapo
Wewe barafu punguza kurefusha mdomo mnataka muongee pekee yenu...mueneze uongo na hamtaki watu wajibu hoja.....mnataka nyie muongee peke yenu wengine wasiseme......Lazima watoe maelezo kwa sababu kuna hatua zimesha chukuliwa sio lazima kuwasubiri makatibu wakuu...
Kwakuwa mliligeuza hili jambo ni la kisiasa hasa ninyi na hamtaki wenzenu waongee mtulie sasa watu wajibu hoja kama sio za kweli mseme sio kujificha kwenye kichaka cha makatibu wakuu
Naona ummy kaamua kutoa ya moyoniKupandikizwa mimba hili si deni la yule mkuu wa mkoa?
Nakataa,Serikalini yenu na nani? Raisi wenu na nani? Kwani ikiingia awamu mpya kila kitu kinaanza upya? Mbona analipa madeni ya nyuma kila mwezi? Huyu ni Raisi wa wote hata ambao hawakumchagua.
Akili za wapi hizi??????Hata iingie mara 1000, nchi yetu iko chini ya Raisi wetu makini hakuna kitakachoharibika!