- Thread starter
- #21
Mtoto wako alishapataga MimbA?? Enzi zetu hata Msichana akipatA mimba akiwa bado kwa wazazi alistahili kuuawa.Mimba za utotoni hazishangiliwi na nafikiri serikali na upinzani wote wanazilaani. Kutokuwapa elimu watoto wetu waliopata haya maafa hakupunguzi umaskini wala hakutazuia fistula. Tujifunze kutoka nchi za ulaya, nafikiri kwao tatizo si kubwa na sidhani kama wanawanyima elimu watoto wao waliopata hili tatizo.