Waziri toka mzigoni | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Waziri toka mzigoni

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Edmund, Jun 7, 2012.

 1. E

  Edmund Senior Member

  #1
  Jun 7, 2012
  Joined: Jul 17, 2009
  Messages: 122
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  View attachment 55710

  Waziri Mkuu wa Uholanzi Mh. Mark Mutte akitoka Mzigoni kurejea Home kwa usafiri wa Baiskeli
  Je, kwetu Pinda anaiweza hii?.
   
 2. Eliphaz the Temanite

  Eliphaz the Temanite JF-Expert Member

  #2
  Jun 7, 2012
  Joined: Jan 19, 2010
  Messages: 2,836
  Likes Received: 362
  Trophy Points: 180
  Kwetu hakuna kitu kama hicho, watu wana taka utukufu for absolutely nothing, uwajibikaji zero, results hakuna, still wanataka watembelee mashangingi na miposho isiyo na kikomo, african!!! sijui ni ujinga ulimbukeni unatusumbuaga
   
 3. Janjaweed

  Janjaweed JF-Expert Member

  #3
  Jun 7, 2012
  Joined: Jan 20, 2010
  Messages: 9,529
  Likes Received: 883
  Trophy Points: 280
  wakwetu ni misuti, mibegi, migari mikubwa na kulakula

  ndio maana wengine wamekua kama mifuko ya rambo iliyojaa taka, wakifungua midomo harufu, waknyanyua mikono harufu, wakiachia mashuzi harufu... mradi ni shida tu

  wao Ni kula, kuvimba na kuachia baraa
   
 4. mathematics

  mathematics JF-Expert Member

  #4
  Jun 7, 2012
  Joined: Feb 21, 2012
  Messages: 3,294
  Likes Received: 102
  Trophy Points: 160
  Pinda ataweza wapi yule, anajifanya mtoto wa mkulima wa ki-uwongo-uwongo, badaye anawasaliti watoto wa wakulima...

  Mtoto wa mkulima wa ukweli ukwelii alikuwa ni J.K KAMBARGE NYERERE peke yake, yule hizo za baskeli ndio zilkuwa zake pamoja na uprezoo....

  Leaders kama wao ni very rare in this World we live...
   
 5. sinafungu

  sinafungu JF-Expert Member

  #5
  Jun 7, 2012
  Joined: Feb 13, 2010
  Messages: 1,406
  Likes Received: 569
  Trophy Points: 280
  Hao ndio wahisani wetu, anaondoka tena bila ulinzi.
   
 6. Watu8

  Watu8 JF-Expert Member

  #6
  Jun 7, 2012
  Joined: Feb 19, 2010
  Messages: 47,344
  Likes Received: 2,679
  Trophy Points: 280
  Najaribu kupata picha miili ya vigogo wetu huku jinsi ilivyo, halafu najaribu kupata picha eti anaendesha baiskeli
   
 7. s

  sugi JF-Expert Member

  #7
  Jun 7, 2012
  Joined: Feb 12, 2011
  Messages: 1,367
  Likes Received: 113
  Trophy Points: 160
  ha ha ha haaaaa,kweli mkuu,watu wanajiachia saaana,jitu linanenepeana mpaka linakosa akili bana,likikugeukia ka nyang'au heee!
   
 8. luck

  luck JF-Expert Member

  #8
  Jun 7, 2012
  Joined: Oct 3, 2009
  Messages: 772
  Likes Received: 288
  Trophy Points: 80
  Na kusumbua watu kwa foleni na kelele nyingi za honi, eti mhishimiwa anapita
   
Loading...