Mtafiti Makini
Member
- Apr 11, 2011
- 14
- 5
Ndugu zangu wanajf nimekuwa nikifuatilia uwepo wa Waziri Stephen Wassira kule Igunga kataka kusaidia kampeni za Chama Cha Magamba yaani CCM ili kiweze kuchukua kiti kilichaoachwa na mmoja wa mapacha watatu ndani ya CCM. Taarifa nilizonazo ametumwa na Kamati ya Siasa ya CCM Mkoa wa Mara na atakuwepo kwa kipindi chote cha kampeni. Je napenda kufahamu Stephen Wassira kama Waziri ambaye ni mahiri kulala bungeni atakuwa likizo ya kikazi?
Je aliyemteua kwenye nafazi ya uwaziri amemruhusu tena kwa malipo kuwepo Igunga kwa muda wote wa kampeni? Je hii likizo ya aina hii ipo kwa mujibu wa sheria?ambaye anaufahamu wa misingi ya sheria na taratibu za viongozi wa serikali hii ya magamba kama ilivyo kwa Wasira imekkaje?