AbasMzeEgyptian
JF-Expert Member
- Jul 20, 2011
- 407
- 312
Katika hali isiyo ya kawaida waziri wa Nishati na Madini amegoma kupita kwenye VIP ya uwanja wa ndage wa Dar alipokuwa anaondoka na kurudi toka Uganda ambako alikwenda kukamilisha na kutia sahihi mkataba wa Bomba la mafuta ambalo litapitia Tanzania
Naamini kuwa huyu waziri kweli ni Man of the People na sitoshangaa kuona na kusikia Rais Magufuli naye akawa ni mtumiaji wa upande wa kawaida wanakopita abiria na raia wa hali za chini.
Hongera sana Mheshimiwa kwa hili na kuliwakilisha taifa Uganda