HNIC
JF-Expert Member
- Sep 6, 2011
- 1,898
- 2,195
This is even more confusing....
Mkuu wa kaya alitamka wazi kuwa ni marufuku kwenye ufunguzi wa mambo wa kufua umeme pale Kinyerezi kwa Independent Power Producers (IPP) kugenerate umeme kwani kazi hiyo itafanywa exclusively na TANESCO. Hii ni kinyume na sera ya serikali na pia ni kinyume na PPP policy ya 2009, PPP Act ya 2010, PPP Regulations ya 2011 na PPA ya 2011
Ushahidi huu hapa wa video kuanzia dakika ya 8:
shahidi mwingine huu hapa:
Rais Magufuli aitaja IPTL
Wakati huo huo serikali yake inaendelea kuomba wawekezaji wa IPP waje wawekeze kwenye sekta ya ku generate umeme kwa njia ya PPP na hapa waziri wake wa Energy akita anakutana na wawekezaji toka UK kuja kuzalisha umeme.
Ina maana Muhongo an akaidi agizo la Rais au hilo agizo limefutwa if so why Ikulu hawajatoa taarifa ya ufafanuzi wa hili jambo?
Ushahidi:
Waziri Muhongo akutana na Waingereza wenye nia ya kuzalisha umeme nchini — Ministry of Energy and Minerals