Waziri Sopeter Muhongo apingana na Rais Magufuli

Muhongo ni very very corrupt
Alipotaka kununua mgodi wa Barrick uliokuwa umeisha dhahabu ilikuwa one very dangerous alert ..
hatukusikia...


Yeye anawapigania Private investors 24 hours
Alitaka kugawa shirika la umeme ili waje na makampuni yao wapige pesa
 
Nime apply umeme sasa ni mwezi wa 5 na nguzo ipo hapo nje ya gate tu, tena si nyumba mya bali ilikuwa inatumia umeme wa mita moja na nyumba nyingie sasa nataka umeme ujitegemee kila nyumba ila sasa tatizo lake halieleweki kila siku ni rudi kesho mara list ni ndefu, hii wizara haijawahi kuwa salama si kwa muhongo wala nani, wafike salama tu.
 
Back
Top Bottom