Waziri Sopeter Muhongo apingana na Rais Magufuli

HNIC

JF-Expert Member
Sep 6, 2011
1,898
2,000
This is even more confusing....

Mkuu wa kaya alitamka wazi kuwa ni marufuku kwenye ufunguzi wa mambo wa kufua umeme pale Kinyerezi kwa Independent Power Producers (IPP) kugenerate umeme kwani kazi hiyo itafanywa exclusively na TANESCO. Hii ni kinyume na sera ya serikali na pia ni kinyume na PPP policy ya 2009, PPP Act ya 2010, PPP Regulations ya 2011 na PPA ya 2011Ushahidi huu hapa wa video kuanzia dakika ya 8:

shahidi mwingine huu hapa:
Rais Magufuli aitaja IPTL

Wakati huo huo serikali yake inaendelea kuomba wawekezaji wa IPP waje wawekeze kwenye sekta ya ku generate umeme kwa njia ya PPP na hapa waziri wake wa Energy akita anakutana na wawekezaji toka UK kuja kuzalisha umeme.

Ina maana Muhongo an akaidi agizo la Rais au hilo agizo limefutwa if so why Ikulu hawajatoa taarifa ya ufafanuzi wa hili jambo?

Ushahidi:Waziri Muhongo akutana na Waingereza wenye nia ya kuzalisha umeme nchini — Ministry of Energy and Minerals
 
makilo

JF-Expert Member
Dec 15, 2015
1,679
2,000
Kwali Waafrica bana.yani wazir muhongo amekaa kama yeye ndiye anayeomba tenda kwa hao wazungu.
 
Sibonike

JF-Expert Member
Dec 23, 2010
16,653
2,000
This is even more confusing....

Mkuu wa kaya alitamka wazi kuwa ni marufuku kwenye ufunguzi wa mambo wa kufua umeme pale Kinyerezi kwa Independent Power Producers (IPP) kugenerate umeme kwani kazi hiyo itafanywa exclusively na TANESCO. Hii ni kinyume na sera ya serikali na pia ni kinyume na PPP policy ya 2009, PPP Act ya 2010, PPP Regulations ya 2011 na PPA ya 2011Ushahidi huu hapa wa video kuanzia dakika ya 8:

shahidi mwingine huu hapa:
Rais Magufuli aitaja IPTL

Wakati huo huo serikali yake inaendelea kuomba wawekezaji wa IPP waje wawekeze kwenye sekta ya ku generate umeme kwa njia ya PPP na hapa waziri wake wa Energy akita anakutana na wawekezaji toka UK kuja kuzalisha umeme.

Ina maana Muhongo an akaidi agizo la Rais au hilo agizo limefutwa if so why Ikulu hawajatoa taarifa ya ufafanuzi wa hili jambo?

Ushahidi:Waziri Muhongo akutana na Waingereza wenye nia ya kuzalisha umeme nchini — Ministry of Energy and Minerals
Rais hajakataa watu kuja kuzalisha umeme. Anachokaa ni ufisadi wa kuuzia capacity charge mtu wa kati. Kinyerezi II ni Sumitomo ya Japan na anataka wauzie TANESCO bila wapiga dili kuingia hapo kati kati
 
JokaKuu

Platinum Member
Jul 31, 2006
20,115
2,000
Rais hajakataa watu kuja kuzalisha umeme. Anachokaa ni ufisadi wa kuuzia capacity charge mtu wa kati. Kinyerezi II ni Sumitomo ya Japan na anataka wauzie TANESCO bila wapiga dili kuingia hapo kati kati
..bora angepiga marufuku makampuni ya kuzalisha umeme.

..tangu makampuni hayo yaingie nchini Tanesco na sekta ya umeme imeyumba.

..biashara ya umeme ingefaa iwe monopoly ya Tanesco.
 
Ulukolokwitanga

JF-Expert Member
Sep 18, 2010
8,404
2,000
Huyo Prof Muhongo toka ameingia wizarani umeme haujawahi kukatika. Hizi juhudi za mleta mada kumchonganisha na raisi akifukuzwa sisi wenye viwanda vidogo tumekwisha, tunarudi kule kwa Ngeleja na Simbachawene. Muacheni Prof apige kazi
 
mziki

Member
Dec 1, 2016
44
95
Watanzania kuna mambo mengine ni kama unafiki hivi ,sasa hapo tatizo ni nini?tafuta hoja ya mahana
 
Ombudsman

JF-Expert Member
Apr 18, 2012
3,573
2,000
Huyo Prof Muhongo toka ameingia wizarani umeme haujawahi kukatika. Hizi juhudi za mleta mada kumchonganisha na raisi akifukuzwa sisi wenye viwanda vidogo tumekwisha, tunarudi kule kwa Ngeleja na Simbachawene. Muacheni Prof apige kazi
Sema sehemu ulipo ndio ujawai kukatika,uku kwetu tumezoea kila siku wanapita nao.
 
shamajengo

JF-Expert Member
Jan 17, 2015
1,154
2,000
Jf ndo maana jpm anajaribu kufanya kila liwezekanalo msiwe na midomo maana kwa ufukunyuaji huu lazima anyooke tu
 
The Boss

JF-Expert Member
Aug 18, 2009
40,322
2,000
Muhongo ni very very corrupt
Alipotaka kununua mgodi wa Barrick uliokuwa umeisha dhahabu ilikuwa one very dangerous alert ..
hatukusikia...

Yeye anawapigania Private investors 24 hours
 
Lambardi

JF-Expert Member
Feb 7, 2008
10,772
2,000
Bwana masifa na majigambo!! Ana kiburi pia sana tu!!! Utadhani ametoka sayari ya Mars! Hopeless
 
Kyodowe

JF-Expert Member
Mar 6, 2013
938
1,000
Tanesco hii hii tuliyonayo haina mabavu ya kuzalisha umeme wa kutosheleza nchi
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom