Waziri Simbachawene, Zitto akamatwe na kulisaidia jeshi la polisi kumpata kijana aliyempa taarifa kuwa hayati Magufuli alituma watu kuchoma mali zake

Kama Tundu Lissu alipigwa risasi na hakuna aliyekamatwa nina uhakika 100% aliyoyasema Zitto yana ukweli.
 
Marehemu hakua katili nadhani ni arrogance na nadhani hata vitu vingi hakufanya yeye ni wasomi wetu waliomzunguka, shida ni kwamba hakukemea
 
Mkuu aisee yaani shukuru Mungu alipita mbali na wewe.. Alikuwa katili sana tena baadhi ya matukio aliyafurahia lengo kuu ikiwa ni yeye kuogopeka nchi nzima
 
Kwa kiongozi aliyeweza kusema 'baki na mavi yako ' anaweza kufanya au kusema lolote.
Binafsi moyoni najua aliwatuma watu kumpiga Lisu Risasi..na naweza kutuma watu kuchoma Mali za Zitto..tukubali jamaa alikuwa roho mbaya Sana
 
Ni mawazo yangu tu, sijui sana ila jinai haifi. Kuna watu walipewa maelekezo labda walienda kwenye extremes
Mkuu aisee yaani shukuru Mungu alipita mbali na wewe.. Alikuwa katili sana tena baadhi ya matukio aliyafurahia lengo kuu ikiwa ni yeye kuogopeka nchi nzima
 
Huu ni uzandiki mbaya sana kwa mwanasiasa kumchafua kiongozi aliyetangulia mbele za haki.

Maadamu jinai haina mwisho na huyu Zitto anadai kuwa hayati Magufuli alituma watu kuchoma mali zake, nyumba iliyoko Kigoma na shamba la korosho huko mtwara.

Kama huyu Zitto sio muongo basi akamatwe na kusaidia jeshi la polisi liwakamate hao waliotumwa kuchoma mali zake. Maana hili ni kosa la jinai na adhabu yake ni kifungo cha maisha.

My take; Kufuga wanasiasa kama huyu Zitto kwenye taifa letu ni kufuga maadui wasiofaa kabisa.

Zaidi, soma: 'Mtwara: Shamba la Korosho linalodaiwa kuwa la Zitto lachomwa moto na watu wasiojulikana. Zitto alikana...

I hope sio kauli ya mzaha. Zito akamatwe aeleze.
Kuna programme ya kumchafua magufuli wanapewa pesa nje. Ni kawaida mabeberu anapoondoka kiongozi mwanamapinduzi wanatumia hela nyingi kumchafua kuua legacy yake na wanasiada vibaraka wanatumika.
Alipopinduliwa nkwame nkurumah walimchafua hadi ikawa aibu ghana mtu kujiassociate na nkurumah. Alipokufa sekou toure wa guinee na alipopinduliwa modibo keita wa mali propaganda kubwa ya mabeberu ilipita kumchafua.
Alipong'atuka nyerere walijitahidi sana bila mafanikio. Tuliona kina lissu wakitumika. Na baada ya kufa magufuli tumeona jinsi wanavyohangaika watu wamuone alikua mtu mbaya ila wamefeli vibaya. Tumeona wahuni wakizuka ila wataabika tu.
 
Stuxnet huu ni ujumbe wako murua kabisa.
 
Ni mawazo yangu tu, sijui sana ila jinai haifi. Kuna watu walipewa maelekezo labda walienda kwenye extremes
Watu walipewa maelekezo wakafanya ya ziada mkuu... Kuna kikosi kazi kilitengenezwa Task Force humo ndani walikuwa TRA, Polisi, Wakuu wa vitengo wengi wakajipendekeza pia humo Ndani..
Yaani wakipewa maelekezo kachukue mil 70 kwa mtu fulani wao wakifika wanaanza na mil 150 ili wapate cha juu..
Watu walipigwa hela na wengi wakaogopa kuweka hata benki hata kama ni halali.
Watu walikimbia kwenda Zambia, Kenya nk.. Ukipigiwa simu njoo kwa RC au TRA au kwa mkuu fulani huendi.. Basi jua unavamia na ukikaa vibaya unapatwa na uhujumu.. Mbona haya mambo yalikuwa wazi sana na watu wanajua tuu mkuu
 
Huu ni uzandiki mbaya sana kwa mwanasiasa kumchafua kiongozi aliyetangulia mbele za haki.

Maadamu jinai haina mwisho na huyu Zitto anadai kuwa hayati Magufuli alituma watu kuchoma mali zake, nyumba iliyoko Kigoma na shamba la korosho huko mtwara.

Kama huyu Zitto sio muongo basi akamatwe na kusaidia jeshi la polisi liwakamate hao waliotumwa kuchoma mali zake. Maana hili ni kosa la jinai na adhabu yake ni kifungo cha maisha.

My take; Kufuga wanasiasa kama huyu Zitto kwenye taifa letu ni kufuga maadui wasiofaa kabisa.

Zaidi, soma: 'Mtwara: Shamba la Korosho linalodaiwa kuwa la Zitto lachomwa moto na watu wasiojulikana. Zitto alikana...

Na kama ikithibitika tuhuma zake ni kweli mtaenda kufukua ule mzoga kule Chato muuwajibishe?

Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
 
I hope sio kauli ya mzaha. Zito akamatwe aeleze.
Kuna programme ya kumchafua magufuli wanapewa pesa nje. Ni kawaida mabeberu anapoondoka kiongozi mwanamapinduzi wanatumia hela nyingi kumchafua kuua legacy yake na wanasiada vibaraka wanatumika.
Alipopinduliwa nkwame nkurumah walimchafua hadi ikawa aibu ghana mtu kujiassociate na nkurumah. Alipokufa sekou toure wa guinee na alipopinduliwa modibo keita wa mali propaganda kubwa ya mabeberu ilipita kumchafua.
Alipong'atuka nyerere walijitahidi sana bila mafanikio. Tuliona kina lissu wakitumika. Na baada ya kufa magufuli tumeona jinsi wanavyohangaika watu wamuone alikua mtu mbaya ila wamefeli vibaya. Tumeona wahuni wakizuka ila wataabika tu.
Magufuli ni takataka tu hapa wacha kuilinganisha na akina Kwame Nkrumah na J K Nyerere. Rudi kwa mwalimu wako akakusomeshe tena.

Mukishavuta Bangi ya Tarime na mwenzio Nyankurungu2020 mnaaza kuona vichaa wanafanana na Baba wa Taifa. Shame on you
 
Wee cheti feki unajua nini. Eti nenda kwa mwalimu wako. Nkwame nkurumah unamwelewa kwanza wewe? Mijitu tumbo mbele inajidai inajua. Ungekua na akili na utu usingeweza kumwita magufuli takataka
 
UmkhontoweSizwe akili yako haijai kisoda, inakutosha kuvukia barabara tu
Afadhali mimi inaniwezesha kuvukia barabara, hawa jamaa 👇 akili yao haiwatoshi hata kuvukia mto kwenda Masai mara!
3035694_images.jpg
 
Huu ni uzandiki mbaya sana kwa mwanasiasa kumchafua kiongozi aliyetangulia mbele za haki.

Maadamu jinai haina mwisho na huyu Zitto anadai kuwa hayati Magufuli alituma watu kuchoma mali zake, nyumba iliyoko Kigoma na shamba la korosho huko Mtwara.

Kama huyu Zitto sio muongo basi akamatwe na kusaidia jeshi la polisi liwakamate hao waliotumwa kuchoma mali zake. Maana hili ni kosa la jinai na adhabu yake ni kifungo cha maisha.

My take; Kufuga wanasiasa kama huyu Zitto kwenye taifa letu ni kufuga maadui wasiofaa kabisa.

Zaidi, soma: 'Mtwara: Shamba la Korosho linalodaiwa kuwa la Zitto lachomwa moto na watu wasiojulikana. Zitto alikana...

Hakuna Cha uzandiki hapo kusema maovu ya viongozi waliopita,kufa.
Ukienda YouTube Kuna documentary ndefu maovu yaliyotendwa na Familia ya Kenyata alipokuwa Raisi wa Kenya.
Maovu ya Adolf Hitler yamesimuliwa kwa kirefu.hii dhana kwamba marehemu hasemwi,ni upuuzi wa Kitanzania.
 
Huu ni uzandiki mbaya sana kwa mwanasiasa kumchafua kiongozi aliyetangulia mbele za haki.

Maadamu jinai haina mwisho na huyu Zitto anadai kuwa hayati Magufuli alituma watu kuchoma mali zake, nyumba iliyoko Kigoma na shamba la korosho huko Mtwara.

Kama huyu Zitto sio muongo basi akamatwe na kusaidia jeshi la polisi liwakamate hao waliotumwa kuchoma mali zake. Maana hili ni kosa la jinai na adhabu yake ni kifungo cha maisha.

My take; Kufuga wanasiasa kama huyu Zitto kwenye taifa letu ni kufuga maadui wasiofaa kabisa.

Zaidi, soma: 'Mtwara: Shamba la Korosho linalodaiwa kuwa la Zitto lachomwa moto na watu wasiojulikana. Zitto alikana...

Wiki sasa toka amri itolewe..vp hajakamatwa tu?
 
Back
Top Bottom