DaudiAiko
JF-Expert Member
- Dec 2, 2012
- 302
- 274
Sidhani kama kura hiyo ya maoni ni representative ya jinsi wananchi wanavyo hisi kuhusu suala hili. Uhalisia wa hali iliyopo sasa hivi ni kwamba wananchi wanao fahamu kuhusu katiba ni wachache sana.Wananchi wajibu mara ngapi Mr Aiko ?!. Hiyo kazi iliyofanywa na tume ya jaji Warioba