Waziri Simbachawene: Wanaomchafua Rais Samia mitandaoni watafutwe na kufikishwa Mahakamani

Facebook kuna watu hadi walikua wana mtukania maumbile yake mi nadhani sio sawa, uhuru wa kujieleza lazima uwe na mipaka.

Acha wakamatwe nyambafu kabisa. Wakati wa magu hawakusubutu kumtukana. Huyu mama kwakuwa ni lady na mpole wanamtukana. Cku akisitaafu watamlilia sana.
 
Waziri wa Mambo ya Ndani ya nchi Mhe. George Simbachawene, ameelekeza vyombo vyote vya ulinzi na usalama nchini kuwatafuta watu wote wanaowachafua wenzao mitandaoni hasa wanaomdhihaki Rais wa Tanzania na Serikali na hatua kali zifuatwe na kuwafikisha mahakamani kwa haraka...
Maagizo ya kijinga kama haya ndiyo hufanya Mawakili wa serikali kuonekana vilaza kwa kuwalazimisha kupeleka mahakani cases which are not tenable.

Very unfortunate state attorneys wanakuwa hawana option, wanaishia kupeleka cases which at all from the beginning wanajua they cannot secure conviction. So sad
 
Waziri wa Mambo ya Ndani ya nchi Mhe. George Simbachawene, ameelekeza vyombo vyote vya ulinzi na usalama nchini kuwatafuta watu wote wanaowachafua wenzao mitandaoni hasa wanaomdhihaki Rais wa Tanzania na Serikali na hatua kali zifuatwe na kuwafikisha mahakamani kwa haraka...
Sheria ipo tena Jiwe alipitisha sasa hili linahitaji maagizo au Wizara ya mambo ya ndani,sheria na teknolojia ku enforce sheria husika?
 
Waziri wa Mambo ya Ndani ya nchi Mhe. George Simbachawene, ameelekeza vyombo vyote vya ulinzi na usalama nchini kuwatafuta watu wote wanaowachafua wenzao mitandaoni hasa wanaomdhihaki Rais wa Tanzania na Serikali na hatua kali zifuatwe na kuwafikisha mahakamani kwa haraka...
Kama kiongozi au mtu maarufu, lazima uelewe kwamba hauwezi kupendwa au kumridisha kila mtu. Ndio maana ni rahisi sana kusemwa, kuandikwa au hata kutukanwa.

Yote haya ni muhimu kukubaliana nayo na kuweweseka kwasababu hizo ni dalili ya kushindwa kuhimili mikikimikiki ya nafasi uliyo nayo
 
Acha wakamatwe nyambafu kabisa. Wakati wa magu hawakusubutu kumtukana. Huyu mama kwakuwa ni lady na mpole wanamtukana. Cku akisitaafu watamlilia sana.
Pumbavy utamlilia wewe na familia yako! Mbona magufuli mlimtukana sana! Unafiki tu eti akifa mtamlilia? Wewe mbona hukumlilia Magufuli? Unataka watu wote walie huyu Jumong akifa?
 
Back
Top Bottom