Ukifuatila kwa ukaribu suala la mauji alofanya Hamza kisha nae kuuwawa unabaki na maswali mengi kuliko majibu.
Nmesoma gazeti la mwananchi tangu kutokea kwa tukio hili kuna vitu vingi ni ambiguous, kwa mfano majirani zake wote waliohojiwa wanasema jamaa alikua mstaraabu na mpole ukienda chunya wafanyakazi wake wanasema jamaa alikua mstaraabu na mpole pia kwa kifupi hana record ya uhalifu.
Lakini kwann aliua polisi tu na si raia kuna nini kipo kati yake na polisi lakini alipata wapi mafunzo ya kutumia Ak47 kwa ustad mkubwa vile nani alimfundisha na kwa minajili gani.
Mwisho tunaambiwa jamaa ni mfanya biashara wa madini isije ikawa kama ile ya wafanya biaahara wa mahenge morogoro ya mwaka 2006.
Nashauri iundwe tume huru ambayo polisi wasiwe wajumbe kwenye tume hiyo ili ukweli uwekwe wazi.