Waziri Simbachawene: Serikali haikusema itatoa ELIMU BURE, ilisema itatoa elimu bila malipo

Return Of Undertaker

JF-Expert Member
Jun 12, 2012
4,572
26,884
"Serikali haikuwahi kusema kuwa itatoa Elimu bure kuanzia shule ya msingi Hadi kidato cha nne, wananchi walielewa vibaya. Serikali ilisema itatoa Elimu Bila Malipo na sio elimu bure."

-Waziri Simbachawene.

Source: Azam tv habari

Ila hapa ushahidi wa video kama tunakana kauli zetu mchana kweupe je gizani itakuwaje?????

"Wanautendea mti mbichi hivi je itakuwaje kwa mti mkavu".
 
Bure na bila malipo tofauti yake nini?

Au angeisema kwa kimombo basi tuangalie matumizi ya maneno.

Kweli kswahili ni kigumu aisee.

Nilikua sijui kama bure na bila malipo ni maneno yenye maana tofauti.

Anyway, tunachotaka wazazi wasisumbuliwe mambo ya michango na ada maana tuliahidiwa hivyo kua mtoto hatarudishwa nyumbani kisa hajalipa ada, sasa kama kutokulipa ada ndio bila malipo ntoho shiida.
 
Back
Top Bottom