Adharusi
JF-Expert Member
- Jan 22, 2012
- 14,410
- 7,318
Baada ya Rais Magufuli kutengua ukuu wa mkoa wa mama Kilango, sababu ya kutoa taarifa ya uongo kuwa, Shinyanga haina wafanyakazi Hewa.. Kosa Lake kubwa ni kutofuatilia.
Kumbuka hizi taarifa zilipokelewa na waziri wa Tamisemi Simbachawene, na huyu waziri hakustuka alipokea kama ilivyo.
Mpaka Rais alipoona kua Kuna tatizo, akaunda task force, zikaibua wafanyakazi Hewa 45
Sasa Simbachawene anasubiri nini ofisini, wiki moja iliopita Simbachawene alitamba kuwa yeye ndio msimamizi wa wakuu wa mikoa, na akasema atawatumbua kabla ya kutumbuliwa yeye.
Waziri mwenye zamana na serikali ya mtaa hakuchukua Hatua, Mpaka Rais alipochukua, ina maana na Simbachawene na yeye anatakiwa kuwajibika
SIMBACHAWENE JIONDOE MWENYEWE, USIMPE KAZI RAIS Ya kukutumbua