Mfumo wa polis wa Tanzania umetengenezwa kwa ajili ya watu wachache tu ambao ni top layer ndo wanafaidika nao halafu huku chini wanachukuwa watu wenye uelewa mdogo wa mambo ndo maana unaona hata Mambo mengi ya PGO hawajui wakati ni sehemu ya muongozo katika kazi zao, hii ilikuwepo hata jeshini miaka ya nyuma sema kwa sasa jeshi nalo limeanza kufanya mabadiliko makubwa kwa kuchukuwa vijana wanaofanya vizuri kwenye masomo ya sayansi ili kuwa na watu makini, tatizo limebakia polisi ndo hawahitaji kuendana na wakati