Waziri Shamsi Vuai Nahodha anaishi New Africa Hotel $280 per day!

BONGOLALA

JF-Expert Member
Sep 14, 2009
16,507
11,883
Katika kuonyesha jinsi serikali isivyo na uchungu na pesa zetu,mawaziri saba wanaishi hotelini kwa muda wa miezi 7 sasa kutokana na kukosa nyumba za serikali.
 
katika kuonyesha jinsi serikali isivyo na uchungu na pesa zetu,mawaziri saba wanaishi hotelini kwa muda wa miezi 7 sasa kutokana na kukosa nyumba za serikali

SO? :majani7::majani7::majani7::majani7::majani7::majani7::majani7:
 
sasa kwa nini waliuza nyumba zao za serikali hv unajua hii nchi siyo kabisa na muda wote huo walikuwa wanafanya nini kutokujenga nyumba za hao mawaziri upuuzi mtupu alafu tumekuwa ni watu wa kutoa lawama hapa jf tu badala ya kutoka tukaandamana kupinga ujinga huu
 
Watu wauliza so?hizo pesa zingenunua vitanda vingapi vya wagonjwa wanaolala sakafuni ktk mahospital ya serikali?au zingetibu watoto wangapi pale ccbrt kama mambo ndiyo hayo sioni sababu ya kuwa na waziri mtalii au mgeni ktk nchi yake atakayeishi hotelini
 
Tusivunje muungaano ,acheni watu wale bata .nyie mnataka aishi wapi?sio tatizo lake ni serikali
 
Jumatatu mbaya kabisa nimeianza vibaya kwa kusikia habari hizi za uchungu.
Jamani nani anapanga hivi vitu si bora apangiwe nyumba .
 
Na nyumba ya spika itagharimu shilingi milion 953,ametengewa kwenye bajetiiii
 
Watu walipopiga kelele kuhusu uuzwaji wa nyumba za serikali walionekana ni wehu, sasa matokeo tunayaona!
 
Hivi ni kweli Vuai Nahodha Hana Nyumba ya kuishi au ndo mbwembwe???

Kama hivo ndo mpango basi mpaka sasa imegharimu USD 58,800 na TSH 88,200,000/-

Asanteni sana kw kuvutia wawekezaji Tanzania.
 
Hivi ni kweli Vuai Nahodha Hana Nyumba ya kuishi au ndo mbwembwe???

Kama hivo ndo mpango basi mpaka sasa imegharimu USD 58,800 na TSH 88,200,000/-

Asanteni sana kw kuvutia wawekezaji Tanzania.
jamani mbona nchini kwetu tuna vionfozi wanao tumia miguu kuwaza amaunt yote hyo si ingenunua kiwanja salasala kari mbili 8mil itayo baki wabomoshe nyumba ya uweki .kwelo si walimbukeni
 
nchi inaliwa na wageni, hii ni laana

kwani hao mawaziri wote saba ni wageni? Hakika hii inasikitisha,waje niwapangishe kwenye nyumba yangu. au waziri ni kitu gani kiasi kwamba hawezi kaa uswahilini? mbona wametokea huku jamani
 
Back
Top Bottom