CAMARADERIE
JF-Expert Member
- Mar 3, 2011
- 4,419
- 1,920
She was told THEN that there is no money....NOW she is told money is available
Serikali hiyo hiyo ina pesa ya kutenga bajeti kwa ajili ya chai na vitafunio kwenye wizara zake.Waungwana naomba mnisaidie mawazo au uelewa, huyu dada kombani alikataa mchakato kwa ajili ya katiba mpya kwa kisingizio kuwa serikali haina pesa, jana muswada aliosoma wizara yake imekopeshwa na nani?
Wadau nikiwa na drive kuelekea ofisin nikawa nasikiliza CLOUDS FM walikuwa wana muhoji Celline Kombani W/Sheria na Katiba katika ya mambo yaliyonishutua ni msimamo wake wa bado kutaka Raisi kuteua wajumbe wa Time ya kurekebisha katiba akitolea mfano wa Zambia, Malawi, Kenya na Uganda walipokuwa wanapofanya mabadiliko ya katiba zao
Anasema Maraisi wa huko ndio waliteua tume na wajumbe wake n yeye kuita hiyo best practice na kushangaa kwa nini sisi tuna kataa?
Sasa naanza kuamini kwamba viongozi wetu wa CCM wavivu wa kufikiri, wakati wote wanachokifanya ni ku-copy na ku-paste.Hiki ndicho kiini cha mikataba na miswaada mibovu.Katika ili la katiba naona walikua wavivu hata angalau kutafsiri, kunasiku tutakuja kuletewa miswaada kwa lugha yakiitaliano au kiarabu.Hawa watu mbali ta ku-copy na ku-paste wanashindwa kutumia au kuchanganya akili yao wa kidogo kuangalia baadhi ya vigezo mfano historia,utamaduni,mazingira hali ya hewa na upepo wa kisiasa n.k.Tuna kazi MUNGU IBARIKI TANZANIA.Wadau nikiwa na drive kuelekea ofisin nikawa nasikiliza CLOUDS FM walikuwa wana muhoji Celline Kombani W/Sheria na Katiba katika ya mambo yaliyonishutua ni msimamo wake wa bado kutaka Raisi kuteua wajumbe wa Time ya kurekebisha katiba akitolea mfano wa Zambia, Malawi, Kenya na Uganda walipokuwa wanapofanya mabadiliko ya katiba zao
Anasema Maraisi wa huko ndio waliteua tume na wajumbe wake n yeye kuita hiyo best practice na kushangaa kwa nini sisi tuna kataa?