Mzee wa Rula
JF-Expert Member
- Oct 6, 2010
- 8,171
- 3,346
Si umepitia ule waraka uliompa mtu ban? Nadhani hakuna swali hapo tena.Wakuu nimekosa imani kabisa na huyu waziri wa sheria na katiba,kwa kumtazama harakaharaka amekosa confidence,sitaki kufikiria alipewa kazi kwa sababu fulani fulani na sio uwezo,kila akihojiwa nakosa imani kabisa na yeye,
uwezo wa kujieleza ni mdogo sana,kwa umri wake sidhani kama alitakiwa kuwa vile,tutajua tu!